Swali la Kizushi. Wanaume Vs Wanawake

ricky ricky ricky!..ohooo...
mara ya mwisho nimeua nikiwa 4m 2...sitaki historia irudie...LOL
Hahahahaaaa hapa umeshemsha kwanza kuua mende ndio ujanja??
kwangu huwezi wewe....
hahahaaa
 
Si wanaume wote wenye dharau na ukimwona mwanaume anamdharau mwanamke basi ujue anahitilafu katika fikra zake.

Nasema hivyo kwa maana hii:
MWANAUME KAZALIWA NA MAMA YAKE ambaye ni mwanamke,
kama mwanaume huyu atamdharau mwanamke basi moja kwa moja atakua amemdharau pia na mama yake.

Inawezekana niko pa1 nawe lakn hata mw/mke pia kazaliwa na mwanaume! tena hata yule mwanamke wa kwanza aliumbwa kutokana na ubavu wa mwanaume ingawa hicho c kibali cha kuwadharau wanawake!
 
Inawezekana niko pa1 nawe lakn hata mw/mke pia kazaliwa na mwanaume! tena hata yule mwanamke wa kwanza aliumbwa kutokana na ubavu wa mwanaume ingawa hicho c kibali cha kuwadharau wanawake!

Nakubaliana nawe pia, tuko pamoja mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom