jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,323
kama MATAMANIO YOTE YANGEKUWA FARASI WENGI WANGEPANDA
gadafi aliwaita wenye nchi mapanya, nyinyi mwatuita wenye nchi wajinga, nyie subirini hukumu yenu!
kama MATAMANIO YOTE YANGEKUWA FARASI WENGI WANGEPANDA
kama MATAMANIO YOTE YANGEKUWA FARASI WENGI WANGEPANDA
kaka mbona unajichanganya?
mkaka alitaka kuandika MATAK..[ukisema a,e,i..inayofuta ni nini vile?] akimanisha {ILE SEHEMU CHINI YA KIUNO NAOGOPA HATA KUITAJA NISIJE KUPIGWA BAN!!} Kijana ana matusi huyu.. sijui kamezeshwa wepi sumu hii.. Mnajitapa kwamba Jeshi liko nyuma yenu, Usalama wa Taifa, Tume zaidi ya Yote serikai mmeidhibiti.. ni kweli mmevidhibiti.. ila sijui kama Mmemdhibiti na Mwenyezi Mungu.. 2015 sio mbali.. HATAKAMA KATIBA HAITABADILIKA.. ILA CCM 2015..HAITAKUWEPO. Wananchi wameshakinaishwa na Chama hiki kiasi cha kutisha mno. wengi wao wanasema wako tayari kupigia kura hata chama kinachoongozwa na Ngedere kuliko CCM.
Hakuna chama pinzani chenye uwezo wa kuongoza kwa sasa, labda baada ya miaka 50 ijayo.