Swali kwa viongozi wakuu wa CCM

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Hivi siku upinzani hasa chadema wakishika madaraka ya kuliongoza hili taifa,nyie mmejiandaa kwenda kuficha wapi hizo nyuso zenu?
 
Wakati huo hawa viongozi waliopo sasa watakuwa wamesha kufa siku nyingi na watakuwa wamesahaulika. Hapo tunaongelea miaka 50 au 100 mbele
 
pole,na wakat 2015 upinzan unachukua nchi!
 
Hivi wewe unajua maana ya upinzani? Tatizo lenu nyie CDM mnafikiri Moshi ndio Tanzania. Wewe subiri mpaka 2013 uone wabunge wangapi wa CDM watakuwepo wamebaki bungeni.
 
Wakati huo hawa viongozi waliopo sasa watakuwa wamesha kufa siku nyingi na watakuwa wamesahaulika. Hapo tunaongelea miaka 50 au 100 mbele
Hivi na wewe ni GT!!!!?? Ndio maana Tz inatakiwa kuongozwa na Dr wa ukweli ili kutibu maradhi ya namna hii!!
 
Dr njaa mwenyewe anasubiri kwenda India, sasa hiyo 2015 atafika kweli? Na hela zote mbowe amelewea sijui hizo gharama zitalipwa na nani
 
kama matamanio yote yangekuwa farasi wengi wangepanda
kaka mbona unajichanganya?
Nchi inaongozwa kwa matamanio?
Ccm badilikeni,kama wewe ni mwenezi na bado kwa miaka hii unafikiria kuiongoza nchi kwa matamanio na si mipango endelevu basi watanzania tumekwisha.
 
mie bado natafakari ilikuwaje gadafi mwenye pesa nyingi jeshi kubwa lenye vifaa alivyonunua mwenyewe kujilinda vikamuuwa? ccm tafakari chukuwa hatua badilika acha ufisadi
 
Dr njaa mwenyewe anasubiri kwenda India, sasa hiyo 2015 atafika kweli? Na hela zote mbowe amelewea sijui hizo gharama zitalipwa na nani
Naye mmeisha m-mwakyembe nini!!?? Back 2 topic, mafisadi wajiandae kurejesha kilicho chetu! Alama za nyakati muhimu!!
 
Hakuna chama pinzani chenye uwezo wa kuongoza kwa sasa, labda baada ya miaka 50 ijayo.
 
kama MATAMANIO YOTE YANGEKUWA FARASI WENGI WANGEPANDA

habari ya matembezi huko Marekani? Mtego ulowekewa huko uliko na mafisadi kwa hakika utakumaliza, wamekukodia hotel ya kifahari, wamekutafutia vimwana ili ungonoke navyo wapate kuku record ili waufunge huo mdomo wako, gari unayotumia huko unajua ni ya nani? Kijana umeumia.
 
kumbe ameshatekwa kiulaini hvo
 
Back
Top Bottom