Swali kwa – Nguli, FL1, Kaizer, bht, MJ1, Babra, Geoff, De Novo, PJ, Fidel,Preta, Kir

Masaki - una furaha na kazi unayoifanya au unaifanya hili upate kipato tu?
 
ELNINO - Kwanini husibadilishe jina wakati unaona jina lako lina madhara na maafa kwenye jamii?
 
Preta nina mikakati ya kuja kutembelea vituo vya watoto yatima vilivyoko Arusha. Je utaniunga mkono mate wangu?
 
Masaki - una furaha na kazi unayoifanya au unaifanya hili upate kipato tu?

Naifurahia na kuipenda kazi yangu...Inaniwezesha kumudu gharama za maisha na pia kupita baa kunywa moja moto moja baridi pale ninapojisikia kufanya hivyo!
 
Naifurahia na kuipenda kazi yangu...Inaniwezesha kumudu gharama za maisha na pia kupita baa kunywa moja moto moja baridi pale ninapojisikia kufanya hivyo!
kwani unafanya kazi gani mkuu?......:D
 
Janjaweed - Mwanao analifahamu jina hili unalotumia hapa?
 
Naifurahia na kuipenda kazi yangu...Inaniwezesha kumudu gharama za maisha na pia kupita baa kunywa moja moto moja baridi pale ninapojisikia kufanya hivyo!
Asante Mkuu kwa jibu safi na nono. Je jamii imefaidikaje na kazi yako? Na ni mitaa gani unapitia kupata hiyo moja japo tukutane kupooza koo?
 
Mkuu nashukuru kwa majibu mazuri ingawa nashukuru kuwa umekiri ukigeu geu kwenye baadhi ya maamuzi yako. Sasa sitaki kufikiria kama ungekuwa Mkulu wan chi halafu ukageuka nyuma, je si ungegeuka jiwe la chumvi?

Kujibu swali lako nimeamua kuuliza maswali haya kutokana na kutaka kuthibitisha je ni kweli haya waumini wa JF wanayoyaandika hapa yanatoka ndani ya mioyo yao kweli au ni kwa sababu tu De Novo hamjui Sipo basi anaweza kujibu kwa jazba au anweza kupuuzia swali kwa kuwa labda amelielewa jinsi isivyo.

Lakini niseme kuwa wewe ni mwanharakati mzuri na umejibu swali lako kihuhanarakati kweli pasipo kumumunya au kutafuna chembe ya maneno

hahaaaaaaa, umeniweza... yani mimi nimesema nabadili msimamo kutokana na data wewe ushanichapa label ya kigeugeu; ok, let me think

NIkiwa mkulu na nikagundua kwamba kumteua sofia simba, ngleja, malima, mwangunga ni kosa, basi hapohapo ningegeuka na kuwapiga chini na kuajiri wengine; kwa hilo sawa

lakini nikijua kwamba kuna wanasiasa wanaishi kimajinuni, kamwe sitabadilika kuwachukia na kuwapiga vita kwani hapo ndio nabishana against wao hadi last drop

Hivi swali gani umemuuliza WOS??
 
Georgie_Porjie - kwanini unapenda kuchangia mada kwa staili unayotumia? Je unafikiri unakwaza au unafurahisha jamii?
 
Naifurahia na kuipenda kazi yangu...Inaniwezesha kumudu gharama za maisha na pia kupita baa kunywa moja moto moja baridi pale ninapojisikia kufanya hivyo!

Masakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kyachakiche - una sababu za msingi kwanini ulipotea JF?

Ndugu yangu SIPO,
Nilipotea kidogo kwani tangu mwishoni mwa mwaka jana nimekuwa nikisafiri safiri sana, wakati mwingine katika maeneo ambayo mtandao haupo! Hata hivyo nimekuwa nikichungulia JF aste aste.
 
Sipo, umemsahau jamaa yangu Sikonge naye mpe swali lake kwa nini alichagua jina hilo na lina maana gani? anawakilisha nini?

Mi sipendi mafuriko na ndiyo maana mkisoma ID hapa muwe mnakumbuka kuhama kwa wale bado mnaishi mabondeni. ie(Jangwani - hasa nikikumbuka kile kipindi walipookolewa na helkopta ya jeshi)
 
Asante Mkuu kwa jibu safi na nono. Je jamii imefaidikaje na kazi yako? Na ni mitaa gani unapitia kupata hiyo moja japo tukutane kupooza koo?

Sehemu ya pili ya swali lako ndiyo ya muhimu zaidi ukizingatia leo ni Ijumaa.... Saa 11 na nusu nitakuwa RG nakula makange. Karibu sana!

Kuhusu jinsi gani kazi yangu inasaidia jamii, ni kwamba ninaguswa moja kwa moja na watu wenye shida hasa watoto yatima na wale wanaoishi kwenye mazingira magumu. Nimefanikiwa hata kuushawishi uongozi wa ofisi yetu kutenga fungu kwa ajili ya kusaidia watoto hawa!
 
Back
Top Bottom