Swali kwa – Nguli, FL1, Kaizer, bht, MJ1, Babra, Geoff, De Novo, PJ, Fidel,Preta, Kir

Babra - Je hujawahi kutamani kuwa na kitu amabcho mwenzako anacho? Kama ndiyo kwanini? Kama hapana kwanini?

nimeshawahi kutamani,naiita "wivu wa maendeleo".......ninao sana na huwa ni changamoto kwenye maisha yangu ya kila cku.
 
Asante kwa jibu zuri Babra, nina imani kubwa kuwa tutapata maelezo mazuri kutoka kwenye huo wivu wako kule kwenye thread ya tufundishane ujasiriamali
 
Back
Top Bottom