Swali kwa Heslb!

Blessingme

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
250
52
Habari zenu wana jf, ningependa kujua kutoka kwa mtu yeyote ambaye ni mfanyakaz wa heslb , ni vigezo vp walivyovi2mia kutoa mikopo, coz naona wadogo zetu wengi wa science especially udaktari, na walimua mmeamua wajilipie na ni wengi, ningependa kujua tu mwaka huu umebadili vipaumbele au ni nin mmefanya, nawakilisha

Je kwa wale ambao sio wafanyakazi wa HELSB hawaruhusiwi kuchangia?

Samahan!
Ule mpango wao wa kutoa 100% kwa science upo bado au wameshachakachua?

Nilichojifunza kuhusu sera za elimu ya juu ni moja,,,,kwamba muda wowote waziri mwenye dhamana au kiongoz anaweza badili sera na hakuna wa kumuuliza,nasema hivi kwa sababu tangu mwaka 2005 hadi sasa suala la elimu ya juu linachezewa tuuu,wametoa mikopo toka wizarani wakaiweka kwa bodi ya mikopo,wakaja na sera ya 40%,nadhan weeengi mnakumbuka,mara wakaja na gredi mwaka 2007-8,ambapo hazikua fair,lakini mwaka jana tumeona wanakuja na kuomba online,wakat tatizo la grade halijafumbuliwa,kwa hiyo suala la msimamo na uthabiti wa heslb na sera ya elimu ya juu ni KIGEUGEU-STYLE;nakumbuka mwaka 2010 watu wa sayansi walipewa 100% baada ya mgomo wa 2009 wa zaidi ya vyuo vikuu 5,tusubiri tena maandamano mengine,nadhan migogoro itaibuka,ila cha kusikitisha vijana wengi wa kitanzania watakosa ELIMU ya juu,hata kama wewe ulisoma una-nafas ya kulipigia kelele hili ili wengine wasome

2nashukuru kaka kwa mchango wako, kila ck wanalalamika walimu na madaktari hawatoshi bt hawaangalii chanzo ni nin, hv kwel unamchagua mtu akasome medicine tena unamwambia ajilipie ataweza kwel gharama zote hizo. Kweli tanzania mmmh

medicine unajua ni shlng ngap?

Hapa ndipo makosa yanafanyika,vijana wanaandaliwa vipi kuja kukabiliana na changamoto za shirikisho?????katika afrika mashariki sisi ndio tuna wasomi wachache kati ya kenya na ug,sina hakika na rwanda n burundi

2nashukuru kaka kwa mchango wako, kila ck wanalalamika walimu na madaktari hawatoshi bt hawaangalii chanzo ni nin, hv kwel unamchagua mtu akasome medicine tena unamwambia ajilipie ataweza kwel gharama zote hizo. Kweli tanzania mmmh

medicine unajua ni shlng ngap?

samahani naona unaenda nje ya topic, siwezi kukujibu kwa sababu c hitaji kwenda huko unakokwenda back to da topic ctak malumbano.

Kama waliweza kushusha ada ktk shule za sekondari basi washushe pia vyuo vikuu!

Back
Top Bottom