Vigezo vya mkopo kwa diploma na vigumu sana

judey

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
436
514
Shukran kwa serikali kwa kutoa mkopo kwa ngazi ya diploma lakin vigezo vimekuwa vigumu sana,

Vipaumbele vya masomo UTOAJI WA MIKOPO
6.1
Maeneo ya Kipaumbele
Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa kama
ilivyoainishwa katika tangazo la Serikali Namba 715 la tarehe 29 Septemba 2023.
Maeneo hayo ni kama ifuatavyo:-
(i)
‘Health & Allied Sciences’;
(ii)
‘Education and Teaching’;
(iii)
‘Transport & Logistics’;
(iv)
‘Energy Engineering’;
(v)
‘Mining & Earth Science’ and
(vi)
‘Agriculture & livestock’
6.1
Programu za kipaumbele
Katika mwaka wa masomo 2023/2024 mikopo itatolewa kwa wanafunzi
waliodahiliwa katika Program/Stashahada zinazoangukia/zilizomo katika maeneo
sita ya kipaumbele yaliyoidhinishwa – rejea kipengele 6.
6.1.1
Afya na Sayansi Shirikishi (Health & Allied Sciences)

Programu katika kundi hili ni kama zifuatazo:-
(i)
‘Clinical Dentistry’;
(ii)
‘Diagnostic Radiotherapy’;
(iii)
‘Occupational Therapy’;
(iv)
‘Physiotherapy’;
(v)
‘Clinical optometry’;
(vi)
‘Dental Laboratory technology’;
(vii)
‘Orthotics & Prosthetics’;
(viii)
‘Health record & information; and
(ix)
‘Electrical and Biomedical Engineering’.
6.1.1
Elimu ya Ualimu (Education and Teaching)

Programu katika kundi hili ni kama zifutazo:-
(i)
Diploma in Education (Physics and Mathematics); and
(ii)
Diploma in Teaching (Technical and Vocational Education).
6.1.1
Usafiri na usafirishaji (‘Transport and Logistics’)

Sayansi na Teknolojia
(iii) ‘Railway construction and maintenance; and
(iv) ‘Global Logistics and Supply Chain Management.
6Energy Engineering’)

‘Renewable Energy Engineering (Hydro, Wind, Solar)’; and
(ii)
‘Pipeline, Oil and Gas Engineering’.
6.1.1
Madini na sayansi ya Ardhi (‘Mining and Earth Science’)

‘Lapidary and Jewelry’; and
(ii)
‘Mineral Processing’.
6.1.1
Kilimo na Ufugaji (‘Agriculture and Livestock)

‘Leather Technology’;
(ii)
‘Food Technology and Human Nutrition’;
(iii)
‘Sugar Production Technology’;
(iv)
‘Veterinary Laboratory Technology’;
(v)
‘Horticulture’;
(vi)
‘Irrigation Engineering’; and
(vii)
‘Agro Mechanization’.
7.0

KWAHIYO NJE YA HIVO VIGEZO AISIOMBE?

vipaumbele hivi vya hali ya kiuchumi
2
Wizara ya Elimu,
Sayansi na Teknolojia
MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA
WA MASOMO 2023/2024
1.0
MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO
Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya Stashahada kwa mwaka wa masomo
2023/2024 wanafahamishwa kuzingatia mambo yafuatayo:-
(i)
Kusoma na kufuata taratibu za maombi katika Mwongozo wa mwaka wa masomo
2023/2024;
(ii)
Kuhakikisha kuwa namba ya mtihani wa kidato cha nne atakayoitumia mwombaji iwe
sawa na atakayoombea udahili wa chuo;
(iii)
Kuhakikisha kuwa fomu ya maombi ya mkopo na mkataba zimesainiwa na viongozi
wa serikali ya mtaa, mdhamini na kamishna wa viapo.;
(iv)
Waombaji wajaze fomu zao kwa ukamilifu na kuzisaini kabla ya kuziwasilisha
HESLB kwa njia ya mtandao;
(v)
Kuhakikisha kwamba vyeti vya kuzaliwa/vifo vimethibitishwa na Wakala wa Usajili,
Ufilisi na Udhamini (RITA) au Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
(ZCSRA) au Afisa aliyeteuliwa ili kuthibitisha uhalali wa nyaraka hizo;
(vi)
Kwa mwombaji mwenye taarifa zake za benki ajaze kwa usahihi kwenye fomu ya
maombi ya mkopo;
(vii)
Kwa mwombaji mwenye Namba ya simu na kitambulisho cha taifa (NIDA)
ahakikishe anajaza namba hizo wakati wa kuomba mkopo.
(viii)
Waombaji wote wanakumbushwa kuzingatia muda wa mwisho wa kutuma maombi
kwa njia ya mtandao.
2.0
KUFUNGULIWA DIRISHA LA MAOMBI
Kwa wanafunzi wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu kwa ngazi ya Stashahada, dirisha la
maombi ya mkopo kwa mwaka wa masomo 2023/2024 litafunguliwa kuanzia tarehe 07
Oktoba, 2023 hadi tarehe 22 Oktoba, 2023.
3.0
SIFA STAHIKI
Sheria na Kanuni za Bodi ya Mikopo zinaainisha sifa na vigezo vya jumla kwa wanafunzi
wanaohitaji mkopo baada ya kudahiliwa na vyuo vyenye ithibati. Mwombaji atatakiwa kuwa na
sifa zifuatazo:-
3.1
Vigezo vya Msingi vya Mwombaji Mkopo
(i)
Awe Mtanzania mwenye umri usiozidi miaka 27 wakati wa kuomba mkopo;
(ii)
Awe amedahiliwa katika taasisi ya elimu inayotoa elimu ya ngazi ya kati nchini;(iv)
Asiwe na ajira au mkataba wa kazi wa serikalini au sekta binafsi unaompatia
mshahara au kipato;
(v)
Awe amehitimu elimu ya kidato cha nne (CSEE), Cheti (astashahada)
au kidato cha sita (ACSEE) au ndani ya miaka mitano; yaani kati ya
mwaka 2019 hadi 2023.
3.1
Hali ya Kijamii na Kiuchumi
(i)
Uyatima; aliyefiwa na mzazi au wazazi
(ii)
Familia au kaya ya kipato duni inayofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya
Jamii (TASAF) au taasisi nyingine za kitaifa zinazotoa ufadhili kwa kaya
zenye vipato duni;
(iii) Ulemavu wa mwombaji au wazazi wake.
4.0
UPANGAJI WA MIKOPO
Upangaji wa mikopo utazingatia vipaumbele vifuatavyo:-
(i)
Mwanafunzi mwenye udahili kwenye programu za vipaumbele vya Taifa kama
zilivyofafanuliwa katika Kipengele cha 6 cha Mwongozo huu zitazingatiwa;
(ii)
Ufaulu wa kitaaluma uliomuwezesha kudahiliwa kwa ajili ya elimu ya ngazi ya kati; na
(iii) Hali ya kijamii kama ilivyofafanuliwa katika kipengele cha 3.2 cha mwongozo

JE MUOMBAJI AMBAYE WAZAZI WAKE SIO WALEMAVU , HAWAHUDUMIWI NA TASAF, PIA ANA WAZAZI WOTE

HATAKIWI KUOMBA HUU MKOPO??

NAKAMA WAZAZI WATAKUWA HAWAPO NA CHETI CHA KIFO HUNA? INAKUWAJE?

NAWASILISHA!
 
NAKAMA WAZAZ WATAKUWA HAWAPO NA CHETI CHA KIFO HUNA ? INAKUWAJE?

NAWASILISHAA!!!!!!!!
Vigezo namba 3:1
 
Programu katika kundi hili ni kama zifutazo:-
(i)
Diploma in Education (Physics and Mathematics); and
(ii)
Diploma in Teaching (Technical and Vocational Education).
6.1.1
Usafiri na usafirishaji (‘Transport and Logistics’)
Naona Ualimi unazidi kuwa narrowed.

Specifically to PHYSICS and MATH'S.

haya. Ni muda muafaka sasa wa kufuta masomo yasiyo na maana.
 
masharti yote hayo na bado ni mkopo, kazi ipo.... serikali iwatafutie na ajira wahitimu wa hizo kozi ili wapate cha kulipia, sio wakimaliza waambiwe wakalime matikiti yanalipa huko bbt
 
Back
Top Bottom