Swali kwa aliyepotelewa laptop mlimani city

duda

Senior Member
Mar 23, 2011
113
25
nilisoma habari ya mtu aliyepotelewa laptop yake mlimani city, nauliza laptop yake ni aina ya Sony? na je kuna documents zake zimeandikwa ALFAGROUP?kuna mtu amekuja ananiuzia laptop nikaichunguza nikabaini vitu hivyo, if yako please niambie coz nimechukua contacts zake.
 
Hongera kwa kujitolea taarifa wewe ungesema akuPM ili umpe hizo info, yawezekana Kibaka yumo humu pia siwajua tena PENYE MAMIA kuna MAHARAMIA
 
Sure! maana wa TZ bwana wezi ni makaka watanashati huwezi amini.
Na wakikujua umewajua, umeumia ndugu yangu!
But hongera kwa moyo wa kijasili wakutaka kukomesha wezi,Raia wote tungekua hivi hapa pangekuwa hakuan wezi kabisa .
Maana tunawahamasisha kwa kununua vitu vyao .
Soko likiwepo na wao wanazidi iba la kifa kabisa itakuwa si deal tena.
 
siko vzr sana ktk kutumia Jf ndo kwanza nina siku chahe nimejiunga, hata hizo ku PM sizijui ndo maana nikaamua kuandika tu hapa, anyway ndo naendelea kujifunza, nachukia sana mtu kumwibia mwenzake especialy vitu kama simu, laptops nk coz m2 anakua kaserve docs zake muhimu
 
NATA sitojali akinijua, what i want ni kukomesha hizi tabia za kuwaibia wa2 vi2 vyao muhimu.
 
nilisoma habari ya mtu aliyepotelewa laptop yake mlimani city, nauliza laptop yake ni aina ya Sony? na je kuna documents zake zimeandikwa ALFAGROUP?kuna mtu amekuja ananiuzia laptop nikaichunguza nikabaini vitu hivyo, if yako please niambie coz nimechukua contacts zake.

Wewe hata kazi za intelijensia haufai kupewa. Kwa kuanzia tu ulitakiwa uulize ni laptop ya aina gani na ina ma file gani ndani. Yeye ndio ataje contents zilizomo na siyo kumpa leading questions!
 
nashukuru kwa hilo, lkn kuweka details pia huoni kama ni vzr, kama si yeye na ni wewe ama mwingine kapotelewa? think before ya kuropoke
 
Sure! maana wa TZ bwana wezi ni makaka watanashati huwezi amini.
Na wakikujua umewajua, umeumia ndugu yangu!
But hongera kwa moyo wa kijasili wakutaka kukomesha wezi,Raia wote tungekua hivi hapa pangekuwa hakuan wezi kabisa .
Maana tunawahamasisha kwa kununua vitu vyao .
Soko likiwepo na wao wanazidi iba la kifa kabisa itakuwa si deal tena.

hata wadada na wao wengine ni wezi pia...
 
Ubarikiwe ila kwa kumsaidia zaidi search topic zenye "laptop" utampata kwa urahisi huyo alienzisha topic hioy na pengine waweza ku-PM
 
nilisoma habari ya mtu aliyepotelewa laptop yake mlimani city, nauliza laptop yake ni aina ya Sony? na je kuna documents zake zimeandikwa ALFAGROUP?kuna mtu amekuja ananiuzia laptop nikaichunguza nikabaini vitu hivyo, if yako please niambie coz nimechukua contacts zake.

Da! Kumbe mkuu mi nakuja kukuuzia mzigo alafu wewe unataka kunichoma?
 
Back
Top Bottom