Swala la kupanda Bei ya data ilaumiwe Serikali na TTCL ndio wanaouzia makampuni huduma za internet kwa Bei na kutokuwa na mshindani

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge.

Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites huru Kama za space X. Bei inaweza kushuka Mara nne zaidi.

Lengo la awali la mkonga wa Taifa ilikuwa kuwa shindani na kupunguza gharama za mitandao Ila Sasa Ni Zigo zito kwani wamemonopoly soko la bidhaa hiyo nyeti kabisa kwa Sasa.

Mitandao hutoza gharama ndogo Sana kwa muda wa maongezi Sasa wakiwa huru kununua bidhaa wanapotaka Bei itakuwa rafiki Sana kwao.
 
Maisha yanaenda Kasi Sana tena ni hatari kwasababu miaka 8 nyuma muda wa maongezi ulikuwa dili watu waliwasiliana Kwa kupigiana simu na SMS na sasahivi mambo yamegeuka kilakitu ni data tu.
network providers wanapata faida kubwa kwenye data kuliko muda wa maongezi
 
Back
Top Bottom