Suprise nyingine kazi kweli kweli

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Jana nilipomsabahi rafiki na ambaye pia ni jirani yangu pindi nimetoka kazini, nilimwona yupo na mawazo sana. Nakwamwacha, nikaingia ndani kwangu kisha mda siyo mrefu nikaenda kumsalimu na hasa kufahamu whats wrong on his side kwa sababu sivyo alivyo. Jamaa akanichana kwamba leo mchana alienda kufanya shopping ya waototo wake wawili, lahaulaa akakutana na mke wake face to face Kariakoo akifanya shopping huku akiwa na shosti wake. Mke wake bila hiyana akamwambia mmewe Surprise.

Tatizo juzi usiku aliongea na mke wake ambaye anafanya kazi wilaya moja ipo songea. Mke wake akamwambia mme wake yupo kijijini sana (Songea), kuna baridi sana, anatamani wawe wote na mengine mengi

Mke wake amepata kazi miezi kama sita hivi imepita kituo cha kazi huko songea, mume kabaki na familia hapa Dar. Je suprisee hizi kwa wanandoa zimekaaje?
 
changanya na za kwako.....utapata jibu sikuhizi mtu akikwambia anasafiri kwenda Mahali wala usihangaishe kichwa chako maana anything can happen..anaweza kukwambia yuko South Africa lakini kumbe yupo Sinza makaburini
 
Kazi ipo!!! Mi huwa nachokaaaaaaaa na long distance relationships!!!
 
Jana nilipomsabahi rafiki na ambaye pia ni jirani yangu pindi nimetoka kazini, nilimwona yupo na mawazo sana. Nakwamwacha, nikaingia ndani kwangu kisha mda siyo mrefu nikaenda kumsalimu na hasa kufahamu whats wrong on his side kwa sababu sivyo alivyo. Jamaa akanichana kwamba leo mchana alienda kufanya shopping ya waototo wake wawili, lahaulaa akakutana na mke wake face to face Kariakoo akifanya shopping huku akiwa na shosti wake. Mke wake bila hiyana akamwambia mmewe Surprise.

Tatizo juzi usiku aliongea na mke wake ambaye anafanya kazi wilaya moja ipo songea. Mke wake akamwambia mme wake yupo kijijini sana (Songea), kuna baridi sana, anatamani wawe wote na mengine mengi

Mke wake amepata kazi miezi kama sita hivi imepita kituo cha kazi huko songea, mume kabaki na familia hapa Dar. Je suprisee hizi kwa wanandoa zimekaaje?

Duh hii sidhani kama ni surprise sanasana inaleta maswali lukuki kichwani kwa mshkaji. Kwa maana nyingine huyu mama inaonekana alikuwepo mjini hapa hapa. Akili kichwani
 
Ha ha ha HUYO ALIKUWA NA JAMAA HAPA HAPA MJINI WANAKULA raha na huyo shosti wake ndo kuwadi. Mi mwenyewe nilishakulaga mke wa mtu na wifi ndio alikuwa kuwadi tena nilikuwa namkanyaga kwenye nyumba ya kaka mtu(Wifi) ndo alikuwa anafanya mipango munawara! watu weweweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
baada ya kukutana shopping walirudi wote au ilikuwaje? suprise zingine nouma
 
Tusiwe na haraka jamani, kwani alikutana nao saa ngapi? Labda ndio alikuwa anaingia na gari ya Songea?

Ila mmh.....
 
Ha ha ha HUYO ALIKUWA NA JAMAA HAPA HAPA MJINI WANAKULA raha na huyo shosti wake ndo kuwadi. Mi mwenyewe nilishakulaga mke wa mtu na wifi ndio alikuwa kuwadi tena nilikuwa namkanyaga kwenye nyumba ya kaka mtu(Wifi) ndo alikuwa anafanya mipango munawara! watu weweweeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Hili sio jambo la kujisifia,,hata kama hili sio jina lako halisi mkuu,,kuwa na aibu walau kidogo
 
ilo ni fumanizi,uyu aliwekwa kinyumba na mtu apa apa dar,ata angefumaniwa kitandani na mwanaume angesema surprise
 
Jana nilipomsabahi rafiki na ambaye pia ni jirani yangu pindi nimetoka kazini, nilimwona yupo na mawazo sana. Nakwamwacha, nikaingia ndani kwangu kisha mda siyo mrefu nikaenda kumsalimu na hasa kufahamu whats wrong on his side kwa sababu sivyo alivyo. Jamaa akanichana kwamba leo mchana alienda kufanya shopping ya waototo wake wawili, lahaulaa akakutana na mke wake face to face Kariakoo akifanya shopping huku akiwa na shosti wake. Mke wake bila hiyana akamwambia mmewe Surprise.

Tatizo juzi usiku aliongea na mke wake ambaye anafanya kazi wilaya moja ipo songea. Mke wake akamwambia mme wake yupo kijijini sana (Songea), kuna baridi sana, anatamani wawe wote na mengine mengi

Mke wake amepata kazi miezi kama sita hivi imepita kituo cha kazi huko songea, mume kabaki na familia hapa Dar. Je suprisee hizi kwa wanandoa zimekaaje?

Hiyo ndiyo suprise mkuu nini usichoelewa?????????????
 
Back
Top Bottom