Suprise nyingine kazi kweli kweli

hakuna suprise hapo,mume ambane mke amwaleze kinachoendelea.

Kwani surprise maana yake nini wakuu? Hivi kweli huyo bwana hakuwa surprised kumuona mkewe Kariakoo wakati yeye anajua yuko kijijini sana Songea? haa haa lugha bwana?
 
na baada ya kusupraiziwa na mkewe je, mke alirudi songea au waliongozana home? nimejiuliza kwani umesema ulimkuta jamaa yupo mwenyewe anajiwazia zake!
 
Ndio.....kama wanaishi Kurasini daladala akaunganishie wapi? Na kabla hajapanda daladala anapitapita angalau aangalie hata mboga buchani, si unajua wababa wakibaki wenyewe unaweza kukuta hata mboga ya jioni haieleweki......

huyo waifu bila shaka amekuja kwa treni nasikia zimeshaanza kazi, kama siyo treni itakua ni yale mabasi yaendayo kwa kasi..
 
Hakuna kitu kama hicho, magari ya Songea hufika Dar muda mmbaya huko K'koo maduka huwa yashafungwa.
Huyo dada alikuwa kamdanganya mumewe period

ulivokomalia kha!ka we ndo mume!mwenzenu kapewa sapraiz nyie mnatoka p;ovu huku!enh sapraizi kafika na gari usiku kalala gesti weeeee af mchana mchana kaamue kwenda sokoni aftena aende nyumbani akiwa kabeba masuku yake mwenye saafi
sipati picha pozi lake sasa hiyo saa tatu aliyopanga kuingia nyumbani
''yani mume wangu nimechooka,hivi unajua siku hizi super FEO wasumbufu sana njiani yani hata sina hamu,nxt time wala sitapanda tena 'ahhahahhahhahhahahhhhahah chezeya muke ya mutu kuwa mbali!ah mi hata sitaki hizi habari za ndoa za kisomali!akhu!
 
Yeye ndio kajikuta anapigwa suprise loh! mi ningemuuliza na kuhitaji mambo yafuatayo na alipaswa ayajibu kwa ufasaha pasipo kuuma maneno:
1. Aoneshe tiketi ya basi.
2. Anithibitishie kuwa kama kweli alikuwa huko Songea walau anipe namba za watu kadhaa wa huko niwapigie.
3. Anipe namba ya mkuu wake wa kazi.

La sivyo sitamuelewa, maana nachelewa kuamini eti alifika Dar jana yake halafu akaenda kulala guest kisa na mkasa atimize makusudi ya surprise, no way!!!
 
na baada ya kusupraiziwa na mkewe je, mke alirudi songea au waliongozana home? nimejiuliza kwani umesema ulimkuta jamaa yupo mwenyewe anajiwazia zake!

Baada ya kuonana pale Kariakoo Jamaa akuongea naye, mida ya usiku mkali kama saa sita hivi wife alirudi na shosti wake home, jamaa akamtimua hapohapo. Demu kaomba msamaha wapi, tatizo jamaa aliliweka swala wazi kwa majirani na ndugu zake kwa hiyo alikuwa amepata ushauri mwingi.

Ila mimi nikimwangalia mwangalia jamaa, still anampenda mke wake
 
Hapo sidhani kama kuna surprise ni fumanizi.

Huyo mama ana kesi ya kujibu....

mkuu sisi wengine tunapenda short cut kitendo cha kudanganya tu tena kwenye mambo ya mahusiano anakuwa ashajipa talaka. siku hizi mambo ya muhimu ni mengi ya kufanya badala ya kuanza kukaa kutatua kesi za ugoni piga chini unabaki unalea wanao tu
 
Baada ya kuonana pale Kariakoo Jamaa akuongea naye, mida ya usiku mkali kama saa sita hivi wife alirudi na shosti wake home, jamaa akamtimua hapohapo. Demu kaomba msamaha wapi, tatizo jamaa aliliweka swala wazi kwa majirani na ndugu zake kwa hiyo alikuwa amepata ushauri mwingi.

Ila mimi nikimwangalia mwangalia jamaa, still anampenda mke wake

lakini inaonekana mke hampendi ndio maana anachomoka njee kwahiyo jamaa hana haja ya kujikondesha atafakari achukue hatua..
 
Baada ya kuonana pale Kariakoo Jamaa akuongea naye, mida ya usiku mkali kama saa sita hivi wife alirudi na shosti wake home, jamaa akamtimua hapohapo. Demu kaomba msamaha wapi, tatizo jamaa aliliweka swala wazi kwa majirani na ndugu zake kwa hiyo alikuwa amepata ushauri mwingi.

Ila mimi nikimwangalia mwangalia jamaa, still anampenda mke wake
hili nalolisoma hapa kwenye bold ni kweli au macho yangu yananidanganya?
 
Mtani ndio kina mama hao...anajifanya alikua Songea, tokea lini zawadi ya surprise mpaka umpitie shosti au uwe na shosti ambaye si ajabu hata kwa huyo mume hatambuliki...
Mwanamama kaliwa na hakuna excuse hahahah
 
AH HUYO TU NA UBABZAZI WAKE!
mtu hupaswi kuwa poyoyo namna hii,yani uongo gani huo wa kijinga namna hii?then hiyo suprise tena unarudi home saa 6 usiku sasa alikuja kufanya nini!ujinga wa aina hii mi hata siusapoti hata kwa mtutu!awe ni mwanaume au mwanamke
 
Back
Top Bottom