aaaiiiiiaaaaa.........anyway .........tuendelee ku-watch.....OPP.....ngoma bado hii
We are on the board. Awesome!
Hawa NO naona wameamka kiaina.
Saints wamechemsha jamani!!! Why didnt they just kick a damn field goal????
aaaiiiiiaaaaa.........anyway .........tuendelee ku-watch.....OPP.....ngoma bado hii
Yaani leo ni siku nzuri sana.......kweli hi ni Super Sunday.....kuanzia kwa akina Chelsea Vs Arsernal mpaka Miami..........
Haya Mazee Super Moderator Abby......usichoke kuweka mapicha........