Confirmed kutoka CAF kwa mwaka huu Timu za Africa Super Cup ni Nane tu Simba ipo na Yanga hawapo

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza.

Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema ) kwa Msimu huu wa Kwanza wa Mashindano haya mapya ni Timu Bora Nane ( 8 ) tu za Afrika Tanzania ikiwakilishwa na Simba SC ndiyo zitashiriki ila kwa Msimu ujao ( wa Pili ) ndipo watakuwa na Timu hizo Ishirini ( 20 ) ambazo huyo Kiongozi Mnafiki ( na mwana Simba SC lia lia ) aliwadanganya na mkamuamini aliwaokoteni ( aliwadanganyeni ) Mazuzu wengi mlioadhibiwa Juzi na Inonga na Denis na Kumuamini.

Kuna Watu ni Wapuuzi na Wehu hadi Kero yaani unademadema mpaka leo kucheza Michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufika Robo Fainali na unahangaika huko Shirikisho ulikokuzoea huku Juzi tu ukiwa umepigiwa Mpira mkubwa na Mbabe Mmoja wa Afrika na Kufungwa Goli / Bao Mbili na Kukoswakoswa Bao / Goli za wazi kama Tano ( 5 ) halafu unataka nawe ujumuishwe Kiuhuruma na Kiupendelea katika Michuano hii mipya ya Africa Super Cup.

Bure kabisa.......!!!!!!!
 
Hoja yako nzuri, ila umeiweka makorokoro meengi sana ndani hadi imepoteza ladha yake!!
Nimeleta ujumbe muhimu kwa Mazuzu kama Wewe na naamini wenye Akili wamenielewa.

Fikisha ujumbe huu kwa wana Yanga SC Wenzako kuwa kwa Msimu huu hawapo na msidanganye Mashabiki na wakatamba mitaani.

Ni Simba SC tu ndiyo itashiriki Oky?
 
Nimeleta ujumbe muhimu kwa Mazuzu kama Wewe na naamini wenye Akili wamenielewa.

Fikisha ujumbe huu kwa wana Yanga SC Wenzako kuwa kwa Msimu huu hawapo na msidanganye Mashabiki na wakatamba mitaani.

Ni Simba SC tu ndiyo itashiriki sawa?
Usikariri kwamba anayekosoa jambo ni lazima awe upande ulioukusudia. Mada nzuri ila umeijaza makorokoro ya maneno yasiyo ya kishabiki bali yasiyo na staha wala kuleta ladha ya kuchangia.
 
Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza.

Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema ) kwa Msimu huu wa Kwanza wa Mashindano haya mapya ni Timu Bora Nane ( 8 ) tu za Afrika Tanzania ikiwakilishwa na Simba SC ndiyo zitashiriki ila kwa Msimu ujao ( wa Pili ) ndipo watakuwa na Timu hizo Ishirini ( 20 ) ambazo huyo Kiongozi Mnafiki ( na mwana Simba SC lia lia ) aliwadanganya na mkamuamini aliwaokoteni ( aliwadanganyeni ) Mazuzu wengi mlioadhibiwa Juzi na Inonga na Denis na Kumuamini.

Kuna Watu ni Wapuuzi na Wehu hadi Kero yaani unademadema mpaka leo kucheza Michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufika Robo Fainali na unahangaika huko Shirikisho ulikokuzoea huku Juzi tu ukiwa umepigiwa Mpira mkubwa na Mbabe Mmoja wa Afrika na Kufungwa Goli / Bao Mbili na Kukoswakoswa Bao / Goli za wazi kama Tano ( 5 ) halafu unataka nawe ujumuishwe Kiuhuruma na Kiupendelea katika Michuano hii mipya ya Africa Super Cup.

Bure kabisa.......!!!!!!!
Mke wa Akchiraf Hakimi unamaneno sana. Umeshinda lakini hunachochote unachopata.
 
Dame Nut sasa kama haileti ladha Kuichangia mbona Wewe unaongeza ladha ya Kuichangia na huachani nayo tu?

Asiyekujua kuwa Wewe ni mwana Yanga SC ni Nani? Mnafiki Mmoja mkubwa Wewe. Hebu nitokee hapa.

Yanga SC haimo na hawamo period.
 
Humu watu tumo kuburudisha mbongo zetu na siyo kutafuta utambulisho. Maisha yako mtaani kwenu ndiyo yanayokupa utambulisho na siyo humu JF. Jifunze kujenga hoja bila ya kuwa karaha kwa wengine!!
 
Mke wa Akchiraf Hakimi unamaneno sana. Umeshinda lakini hunachochote unachopata.
Kukufunga Wewe nimejiongezea Alama Tatu na Wewe kuangusha Alama Tatu je, hapo Logically hakuna nilichokipata?

Ufiche Upumbavu wako tafadhali.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Humu watu tumo kuburudisha mbongo zetu na siyo kutafuta utambulisho. Maisha yako mtaani kwenu ndiyo yanayokupa utambulisho na siyo humu JF. Jifunze kujenga hoja bila ya kuwa karaha kwa wengine!!
Aiyekuambia Uwasilishaji wa Mtu hapa JamiiForums ndiyo Uhalisia wake ulivyo na wa Kimaisha nani?

Huna Akili.
 
Nimezungumzia utambulisho na siyo uhalisia wa maisha. Unaweza kuwa tajiri na usiwe mstaarabu na unaweza pia kuwa masikini na usiwe mstaarabu pia. Utambulisho ni tabia. Huwezi sema unatukana tu JF, hiyo itakuwa ni tabia yako ya kawaida ya kutoheshimu wengine!!
 
3BB8A222-0BA0-430B-92A1-C17B77C9C2A5.jpeg
 
Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza.

Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema ) kwa Msimu huu wa Kwanza wa Mashindano haya mapya ni Timu Bora Nane ( 8 ) tu za Afrika Tanzania ikiwakilishwa na Simba SC ndiyo zitashiriki ila kwa Msimu ujao ( wa Pili ) ndipo watakuwa na Timu hizo Ishirini ( 20 ) ambazo huyo Kiongozi Mnafiki ( na mwana Simba SC lia lia ) aliwadanganya na mkamuamini aliwaokoteni ( aliwadanganyeni ) Mazuzu wengi mlioadhibiwa Juzi na Inonga na Denis na Kumuamini.

Kuna Watu ni Wapuuzi na Wehu hadi Kero yaani unademadema mpaka leo kucheza Michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufika Robo Fainali na unahangaika huko Shirikisho ulikokuzoea huku Juzi tu ukiwa umepigiwa Mpira mkubwa na Mbabe Mmoja wa Afrika na Kufungwa Goli / Bao Mbili na Kukoswakoswa Bao / Goli za wazi kama Tano ( 5 ) halafu unataka nawe ujumuishwe Kiuhuruma na Kiupendelea katika Michuano hii mipya ya Africa Super Cup.

Bure kabisa.......!!!!!!!
Kwahiyo?
 
Umeandika upuuzi, Tp Mazembe ni moja ya timu mliyoibeza kuwa ni timu mbovu. Vipi Super league inahusisha hadi timu mbovu? Au wimbo wa TP Mazembe kuwa ni mbovu imekufa kwavile mpo nae super league?
 
Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza.

Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema ) kwa Msimu huu wa Kwanza wa Mashindano haya mapya ni Timu Bora Nane ( 8 ) tu za Afrika Tanzania ikiwakilishwa na Simba SC ndiyo zitashiriki ila kwa Msimu ujao ( wa Pili ) ndipo watakuwa na Timu hizo Ishirini ( 20 ) ambazo huyo Kiongozi Mnafiki ( na mwana Simba SC lia lia ) aliwadanganya na mkamuamini aliwaokoteni ( aliwadanganyeni ) Mazuzu wengi mlioadhibiwa Juzi na Inonga na Denis na Kumuamini.

Kuna Watu ni Wapuuzi na Wehu hadi Kero yaani unademadema mpaka leo kucheza Michuano ya Klabu Bingwa Afrika na kufika Robo Fainali na unahangaika huko Shirikisho ulikokuzoea huku Juzi tu ukiwa umepigiwa Mpira mkubwa na Mbabe Mmoja wa Afrika na Kufungwa Goli / Bao Mbili na Kukoswakoswa Bao / Goli za wazi kama Tano ( 5 ) halafu unataka nawe ujumuishwe Kiuhuruma na Kiupendelea katika Michuano hii mipya ya Africa Super Cup.

Bure kabisa.......!!!!!!!
Na kwanza kama kwenda huko Super Cup kutoka bongo kama kuongeza timu ingechukuliwa Azam ama Namumgo au hata Biashara, waambiwe uto kuwa wanaangalia points tena za miaka hiyo na sio papatu papatu za mwaka huu, na Yanga waambiwe ukweli kuwa Afrika hawajulikani na timu pekee inayojulikana Tanzania kwa sasa Afrika ni Simba Sports Club
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom