Super Bowl 50

Payton deserves at least one Super Bowl Championship...guess this is his last season.

He already has one and it'd be pretty awesome to see him go out on top.

But by the look of things it doesn't look very promising if he is going to face the Carolina Panthers.
 
mimi sio mpenzi wa America football but najua super-bowl ni nini

nafikiri ndio tukio kubwa kuliko yote kwenye michezo Marekani

Tanzania inaweza kunufaika kama tutajua value na powerr the advertisement kwenye matukio kama haya
na tukainvest kuitangaza nchi yetu kwenye utalii....
matangazo ya superbowl ya TV huwa ni biashara kubwa sana na yanatazamwa na watu wengi sana
nimewahi sikia zaidi ya watu milioni 500 wanatazama superbowl final...tukiweza wafikia hao
tukawashawishi watu milioni 5 tu kuja TZ kutalii imagine faida yake

Kuna utalii baadhi ya team zinaitangaza Tanzania
 
Dah! Anyway, it's part of any game! There are losers and winners, today the losers happened to be us! But I'm sure we'll return in the next SB!

Kudos to the Broncos! Kudos to the old manNING, and I hope he'll win the Lombardi (for krissake, NFL gods... Let the old man go out in glory!!!)

We'll be back, bruv Nyani Ngabu
 
There you go again...poor Nyani Ngabu, I thought there was a lesson learned this afternoon but, oh shit, I give up.

Unajua naanza kushawishika kuwa labda una matatizo ya akili...haki ya nani!

Nashindwa hata kuelewa mambo unayoandika.

Seriously, hapo unamaanisha nini sasa?
 
Hahaaaa... Kwenye sports bana, ukiwa 39yrs old tayari wewe ni mzee!. Ila Cam Newton is having a lot of fun. Yule kijana huu ni mwaka wake aisee!.

Si unaona akina Ginobli wanaitwa vibabu.....

Ila Panthers wanatisha bana khaaaa!

Lakini unajua nini?

Kuna timu mwaka 2007 ilikuwa undefeated all the way to the SB na ikafungwa kwenye mchezo wa mwisho!

Haya mambo bana....usije shangaa babu Manning anafanya maajabu Feb. 7.
 
Asee bro usikumbushie! Dah that loss still pains as if "hatuna any trophy and that was supposed to be it" (I hope unanielewa bruv)

Nakumbuka uncle wangu anaeishi VA alibet na rafiki ake $ 550, akajiaminii wee. Af ndo Tyree na his "Helmet Catch" na Plaxico waka'nail the last nails to the golden coffin that was perfect season! Yan mpaka leo anakumbuka play-by-play of that game na akiwa anakusimulia akifikia tu pale kwa Tyree ndo utasikia expletives zinaanza chinichini!

Ila for real, what you have said... If the Panthers get carried away with the hype, it won't surprise me at all wakipoteza.
 
Hapo ndio Tony Dungy na Colts alivyoweka heshima kwa minority coaches wa NFL!.
 
Asee bro usikumbushie! Dah that loss still pains as if "hatuna any trophy and that was supposed to be it" (I hope unanielewa bruv)

Nakumbuka uncle wangu anaeishi VA alibet na rafiki ake $ 550, akajiaminii wee. Af ndo Tyree na his "Helmet Catch" na Plaxico waka'nail the last nails to the golden coffin that was perfect season! Yan mpaka leo anakumbuka play-by-play of that game na akiwa anakusimulia akifikia tu pale kwa Tyree ndo utasikia expletives zinaanza chinichini!

Ila for real, what you have said... If the Panthers get carried away with the hype, it won't surprise me at all wakipoteza.

I think this is going to be the Carolina Panthers' theme song going into SB 50.

'Look at my dab' by the Migos.

Cam Newton has been dabbing all season long, perhaps an homage to his ATL homeboys, the Migos, who are the craze's originators.

Even coach Ron Rivera dabs these days.....

When I saw Riverboat dab, I couldn't believe it! Hahaha the old man pumped up the locker room when he did it!
 
When I saw Riverboat dab, I couldn't believe it! Hahaha the old man pumped up the locker room when he did it!

But how sad would it be to see Peyton Manning 1-3 in the big game?

Dayuuum.

Because, if we are to be prisoners of last night's moment, Denver doesn't have a snowball's chance in hell of beating Carolina.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom