Supakasi ni internet isiyo na kikomo na iliyosambaa zaidi, Vifurushi 115K wengi hatuviwezi. Nashauri kuwe na vifurushi vya elfu 60 ikipendeza elfu 50

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Hadi sasa sina shaka kwamba kwenye uwanja wa unlimited internet, hawa supakasi chini ya Vodacom ndio wana uwezo wa kufikia wateja wengi kila mkoa kuliko hata fibre ambazo sana sana zipo mjini kati kwenye majiji machache.

Kimbembe kipo kwenye bei hapo, sina shaka kwa matajiri na wanaotumia internet kama aid ya kuwaingizia vipato hii gharama wanaweza kuimudu, ila shida inakuja kwa kina sisi wenye vipato vya kawaida na internet ni kwajili ya matumizi personal kama kushusha muvi, kupiga video calls, kucheki tutorials, n.k. hapa wengi hio 115,000 inatutoa knock out.

kifurushi cha 115,000 kina speed ya 30 Mbps (Download speed MB 3.75 kwa sekunde) Ningeshauri kuwe na vifurushi vya elf 60 kwa nusu ya speed 15 Mbps (Download speed MB 1.875 kwa sekunde) ama kuwe kifurushi cha elf 50 chenye speed ya 10 Mbps (Download speed MB 1.25 kwa sekunde) zingatia kwamba Mbps 1 ya herufi ndogo ni sawa na MBps 0.125 ya herufi kubwa, MBps ndio ile speed tunayoiona tunaposhusha mafaili na mafile yetu yanapimwa kwa MB, unapoona internet ina speed ya 10 Mbps usichanganye na speed ya kudownload MBps.

Currently nipo Tigo post paid elf 60 napata GB 80 kila mwezi, kwa sasa bei zimepanda ila tuliojisajjili kabla ya mabadiliko tunaendelea na makubaliano yale yale.
 
hadi sasa sina shaka kwamba kwenye uwanja wa unlimited internet, hawa supakasi chini ya Vodacom ndio wana uwezo wa kufikia wateja wengi kila mkoa kuliko hata fibre ambazo sana sana zipo mjini kati kwenye majiji machache.

Kimbembe kipo kwenye bei hapo, sina shaka kwa matajiri na wanaotumia internet kama aid ya kuwaingizia vipato hii gharama wanaweza kuimudu, ila shida inakuja kwa kina sisi wenye vipato vya kawaida na internet ni kwajili ya matumizi personal kama kushusha muvi, kupiga video calls, kucheki tutorials, n.k. hapa wengi hio 115,000 inatutoa knock out.

kifurushi cha 115,000 kina speed ya MB 3 kwa sekunde, Ningeshauri kuwe na vifurushi vya elf 60 kwa nusu ya speed MB 1.5 kwa sekunde ama kuwe kifurushi cha elf 50 chenye speed ya MB 1 kwa sekunde.

Currently nipo Tigo post paid elf 60 napata gb 80 kila mwezi, kwa sasa bei zimepanda ila tuliojisajjili kabla ya mabadiliko tunaendelea na makubaliano yale yale.
Wanasema ni 20mb/s

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo ya tigo ya 60,000unaipataje?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hawa Voda hawako serious pengine watajikuta wamefanya makosa pale ambapo mtu mwingine akaja kufanya uwekezaji ambao utamfanya Voda apolwe wateja

Nasikilizia hiyo project ya Elon Musk nione mageuzi yatakavyokuwa
 
Starling ni gharama mara 2 ya supakasi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
kifurushi cha 115,000 kina speed ya 30 Mbps (MB 3.75 kwa sekunde) Ningeshauri kuwe na vifurushi vya elf 60 kwa nusu ya speed 15 Mbps (MB 1.875 kwa sekunde) ama kuwe kifurushi cha elf 50 chenye speed ya 10 Mbps (MB 1.25 kwa sekunde) ... zingatia kwamba Mbps 1 ni sawa na MBps 0.125, unapoona internet ina speed ya 10 Mbps usichanganye na speed ya kudownload MBps, mfano kwa speed ya 10 Mbps ukizidishe x 0.125 ndio unapata speed ya kudownload = MB 1.125 kwa sekunde ..
Nini tofauti kati ya MBps na Mbps?

Back
Top Bottom