Internet za post paid ni bei chee lakini hakikisha ukiacha kuitumia unatuma barua ya kusitisha lasivyo utadaiwa pesa kwa miezi ambayo hukulipia

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifurushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia

Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa.

Mfano Tigo wana post paid yao unapewa GB 100 kwa elf 75, Vodacom nao wana huduma yao wanakufungia antenna unalipia speed na sio gb kama tulivyozoea, mfano kwa takribani laki na 20 wanakupa speed ya MB 1 kwa sekunde, utabanwa kwenye speed tu ambayo ni nzuri tu labda muwe watumiaji wengi ndio inapungua.

Sasa ikitokea umeacha kutumia huduma ni kwamba kwenye account yako bado itaendelea kuhesabika, mfano hujatumia huduma mwaka mzima basi utaldaiwa gharama za mwaka mzima, kwa voda kwa miezi hio 12 unaweza daiwa milioni na kitu na ni lazima ulipie lasivyo unaweza kufunguliwa kesi.

Hivyo ni busara uwafahamishe wahusika kwamba unaacha kutumia huduma zao kwa sababu maalum ikiwemo kipato kuyumba, umehamia shem haina network, huna tena vifaa vya ktumia internet, n.k
 
Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifusrushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia

Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa.

Mfano Tigo wana post paid yao unapewa GB 100 kwa elf 75, Vodacom nao wana huduma yao wanakufungia antenna unalipia speed na sio gb kama tulivyozoea, mfano kwa takribani laki na 20 wanakupa speed ya MB 1 kwa sekunde, utabanwa kwenye speed tu ambayo ni nzuri tu labda muwe watumiaji wengi ndio inapungua.

Sasa ikitokea umeacha kutumia huduma ni kwamba kwenye account yako bado itaendelea kuhesabika, mfano hujatumia huduma mwaka mzima basi utaldaiwa gharama za mwaka mzima, kwa voda kwa miezi hio 12 unaweza daiwa milioni na kitu na ni lazima ulipie lasivyo unaweza kufunguliwa kesi.

Hivyo ni busara uwafahamishe wahusika kwamba unaacha kutumia huduma zao kwa sababu maalum ikiwemo kipato kuyumba, umehamia shem haina network, huna tena vifaa vya ktumia internet, n.k

Kwa hali hiyo bora tuendelee na pre paid tu au tusubiri TTCL fiber 55K unlimited mwezi mzima kwa speed ya 2MB/s had 2.5MB/s ambayo ni sawa na kusema 20Mbps at least inaeleweka
 
Unaipataje hii aise?

Cha kwanza uwe twn cha pili nenda office za TTCL vijjn hakuna hata mij ya pemben pemben na twn hakuna ipo majij makubwa tu
IMG_4962.jpg
 
Back
Top Bottom