Sumaye amgwaya Lowassa!

Ivi huyu ni yule PM mstaafu au ni ndugu yake? Wanahabari mliyo ndani nyumba kwa nini msimweke kona kwa kumhoji aweke bayana alichoitia press, otherwise nina mdisqualify kabisa kwenye adhma yake.

Yule yule Mstaafu
 
Sumaye has been P our PM for 10 ten fuc king yrs! Anatutaka nini? Alianzisha takrima Leo analia lia nini like a hIgh school girl on the first day out?
 
nadhani alipaswa kutoa maneno kama haya katika garduation ya form 4 na sio kuita waandishi wa habari
 
Kama mlitegemea atangaze anahamia chadema mmeliwa. Hivi hii si hadithi ya sizitaki mbichi hizi??? Kerere za machura zimezidi. Kumshabikia sumaye ilikuwa ni kutaka ajiunge na mavuvuzera ya slaaa haingii ngooo,

ukweli kutoka moyoni, kama CDM inataka ipoteze wana chama wake wapenzi, basi ibebe huu mzigo ni kiwa mna maanna Mr. Zero hakuna mtu anaye muitaji. niamini, chadema ni chama makini sana
 
Sumaye:

Bado nina imani na CCM, tatizo ni kwamba hatujajipanga kusimamia kwa dhati kupambana na rushwa... CCM ni ile ile iliyokuwapo miaka ya Mwalimu
Huu ndio uongo na unafiki wa magamba nisioupenda, kweli CCM ya JK ndio ya Mwalimu, nakuhakikishia Sumaye mwalimu angekuwa hai angeshakimbia huko, asingeweza kushirikiana na wezi na freemasons.
 
Duh hakuna newz hapo,bora angeongea na mmoja mmoja kwa cm kwani kuwaita waandishi ni 'GHARAMA' hata kama unaongea pumba wao wameshaingiza MPUNGA.
 
kwa kisema hivi anamaanisha Mary Nagu katoa rushwa.

ni zaidi ya mary nagu walitoa rushwa nchi nzima isipokuwa kwa staili tofauti ndicho alichokisema PM mstaafu kuwa ccm wametumia rushwa na uchafu mwingine nchi nzima ktk uchaguzi wao wa ndani.
ccm mpoooo?poleni sana je 2015 itakuwaje?
tusubiri tuone!
 
kama hao waandishi walipewa bahasha basi itakuwa ni baada ya hiki kituko, other wise wangeondoka waka muacha peke yake kabla ya kumaliza. unaweza kudhani unaota
 
Sumaye has been P our PM for 10 ten ****ing yrs! Anatutaka nini? Alianzisha takrima Leo analia lia nini like a hIgh school girl on the first day out?
Like a maturing girl on her first menstruation
 
yaani huku ndio kuonyesha degree ya miezi ndio haya kweli si kutegemea kama itakuwa hivi ndio unakuja kuongea pumba kiasi kama hiki? Je, kwa nini usikae pembeni na siasa ili kutoa aibu kwa familia na jamii yako
 
Na sisi ambao si waandishi na hizo bahasha hatuchukui? Katupotezea muda, hiki si kitu cha kuitisha mkutano na waandishi na kuongea. Hakuna jipya hapa. Natoka wakuu

Nenda kwa amani mkuu, hamna jipya wala la maana hapo. Huyo anajing'atang'ata kama ngungumbimbi ni kilio cha moyo baada ya kupatiwa dozi ya dawa yao wenyewe.

Si huyu aliyetumia nguzo 50 za umeme kupeleka moto shambani kwake ilhali wengine tukienda TANESCO tunaambiwa hamna nguzo?

Sio huyu huyu aliyewahamisha watu kiluvya na kununua mashamba yao kwa nguvu. Unaambiwa utoke mheshimiwa anapataka, ukibisha NDANI.

Dhuluma aliyofanya itamuandama mpaka siku atakavyopelekwa Azania Front akiwa kwenye jeneza
 
Ha ha ha ha! Yaani huyu ndiye anataka kuwa rais? Teh teh teh! Hata uroom monitor asitahili.ila lolote linawezekana kwa Tanzania ,maana pale magogoni naona kama kuna shati tu ndo limetundikwa.
 
Back
Top Bottom