ahsante kwa kuita waandishi wa habari maana umetusaidia kukufahamu kuwa si mpiganaji wa ukombozi wa mtanzania, na hata kwa wasindikizaji pia haupo,Sumaye:
Bado nina imani na CCM, tatizo ni kwamba hatujajipanga kusimamia kwa dhati kupambana na rushwa... CCM ni ile ile iliyokuwapo miaka ya Mwalimu
Na sisi ambao si waandishi na hizo bahasha hatuchukui? Katupotezea muda, hiki si kitu cha kuitisha mkutano na waandishi na kuongea. Hakuna jipya hapa. Natoka wakuu
Yale yaleeeeeeee!!!
Oil chafu haiwezi kusifishwa.
Kama mlitegemea atangaze anahamia chadema mmeliwa. Hivi hii si hadithi ya sizitaki mbichi hizi??? Kerere za machura zimezidi. Kumshabikia sumaye ilikuwa ni kutaka ajiunge na mavuvuzera ya slaaa haingii ngooo,
Sumaye:
Mambo ya Hanang, yalitokea nchi nzima... Na yalitokea kwa staili tofauti
Tatizo ni kubwa sana, maana nchi nzima mattumizi makubwa ya fedha... Tatizo ni kubwa na limeota mizizi
Nimewahi kuzungumzia mara kadhaa...
Nilisema nikiwa Same "Rushwa ni tatizo Barani na Tanzania pia... Kwetu sisi huwezi kushinda bila kutoa fedha"
Nilisema haya 2010:
"Kiongozi anayetoa rushwa anapata wapi kama si mwizi na mla rushwa... Hawezi kuwatendea haki maana wananchi ni kama bidhaa na hatawatumikia bali atatfuta za kihonga baadae"
Huyu Sumaye ni mpuuzi tu, ilo ndio la kuita waandishi wa habari, eti anasema ccm ya Nyerere ndio hii hii ya leo, what a shame, huyu ni Waziri mkuu mstahafu, kweli Tz tunaongozwa na wajinga