Sumaye amgwaya Lowassa!

Sumaye:
Hanang'kulikuwa na matumizi makubwa ye fedha, uharamia wa kuhamisha watu... Sitokata rufaa wala sitolalamika chamani maana kila jambo lilikuwa hadharani na media ilitoa taarifa.

Siko CCM kwa ajili ya vyeo... Nchi nyingi zimeingia katika vurugu na kuhatarisha amani ktk uchaguzi,,, Tanzania tusichafue kwa kusababisha matatizo kwa kutimia vibaya umasikini wa Watanzania.

Najua si matamu kwa masikio ya wengine na tusiwanyamazishe wanaozungumzie kwa uwazi.

Mungu ibariki Tanzania
 
Sumaye:
Nilisema kiongozi anatumia rushwa hatajali umma bali atatafuta fedha kunnua tena... CCM lazima tupige vita rushwa... Nilisema haya Julai 7 mwaka jana...

Nasema haya isionekane nasema haya baada ya kushindwa Hanang
Ni aibu mtu mzima kutumia mafumbo kufikisha ujumbe! sasa hapa anamaanisha kiongozi yupi kati LOWASA AU MARRY NAGU?
 
Sumaye:
Mambo ya Hanang, yalitokea nchi nzima... Na yalitokea kwa staili tofauti

Tatizo ni kubwa sana, maana nchi nzima mattumizi makubwa ya fedha... Tatizo ni kubwa na limeota mizizi

Nimewahi kuzungumzia mara kadhaa...

Nilisema nikiwa Same "Rushwa ni tatizo Barani na Tanzania pia... Kwetu sisi huwezi kushinda bila kutoa fedha"

Nilisema haya 2010:

"Kiongozi anayetoa rushwa anapata wapi kama si mwizi na mla rushwa... Hawezi kuwatendea haki maana wananchi ni kama bidhaa na hatawatumikia bali atatfuta za kihonga baadae"
Anayajua haya na bado anang'ang'ana humohumo?!!!!!!?
 
Mkuu ni kama tumetoka kapa, sijaona kipya alichosema Sumaye, labda ni macho yangu hayasomi vizuri.
 
Nimeshastuka hakuna jipya hapa. Yale yale ya EL kusema sikukutana na JK barabarani. Aseme ameita mkutano kusema nini hasa

umeniwai mkuu, maana anaongelea rushwa halafu hasemi nani katoa rushwa kununua uongozi.!
 
Haya ndo yalimfanya aiitishe press?? Katumia vibaya muda wa waandishi wa habari na watu wanaomsikiliza..
 
Sumaye:
Nilisema kiongozi anatumia rushwa hatajali umma bali atatafuta fedha kunnua tena... CCM lazima tupige vita rushwa... Nilisema haya Julai 7 mwaka jana...

Nasema haya isionekane nasema haya baada ya kushindwa Hanang
Infact anasema haya baada ya kushindwa uchaguzi na ndo tafsiri yake wala asipindishe ukweli.
 
Sumaye:
Hanang'kulikuwa na matumizi makubwa ye fedha, uharamia wa kuhamisha watu... Sitokata rufaa wala sitolalamika chamani maana kila jambo lilikuwa hadharani na media ilitoa taarifa.

Siko CCM kwa ajili ya vyeo... Nchi nyingi zimeingia katika vurugu na kuhatarisha amani ktk uchaguzi,,, Tanzania tusichafue kwa kusababisha matatizo kwa kutimia vibaya umasikini wa Watanzania.

Najua si matamu kwa masikio ya wengine na tusiwanyamazishe wanaozungumzie kwa uwazi.

Mungu ibariki Tanzania
ndio amemaliza kirahisi namna hiyo? kweli siasa ni mchezzo mchafu!
 
Sumaye:
Hanang'kulikuwa na matumizi makubwa ye fedha, uharamia wa kuhamisha watu... Sitokata rufaa wala sitolalamika chamani maana kila jambo lilikuwa hadharani na media ilitoa taarifa.

Siko CCM kwa ajili ya vyeo... Nchi nyingi zimeingia katika vurugu na kuhatarisha amani ktk uchaguzi,,, Tanzania tusichafue kwa kusababisha matatizo kwa kutimia vibaya umasikini wa Watanzania.

Najua si matamu kwa masikio ya wengine na tusiwanyamazishe wanaozungumzie kwa uwazi.

Mungu ibariki Tanzania

Ndio amemaliza.?
 
Kama ameshindwa kwa kuwa rushwa ilitumika kumwangusha na yeye hatakata rufaa kwa ajili ya hilo, kwangu mimi inamaanisha kuwa anakmubaliana na matokeo hayo yaliyotokana na matumizi ya rushwa. Kwa maneno mengine, anbakubaliana na rushwa ndani ya chama chake.... bado tuna safari ndefu
 
Ana hang over ya kukosa nafasi ccm huyu! Hivi kama angekuwa amepata angekuja kufanya press conference na kuongelea hayo anayo ongea?!
 
Ni kweli tu bora hata asingekuja kuzungumza angekaa kimya tu akajifia kisiasa taratibu.

anaongea maneno ya kwenye kanga tu wakati hayo tushayazoea, ccm ya sasa tofauti kati ya livingstoni lusinde na sumaye wote wanaongea sawa
 
Back
Top Bottom