Elections 2010 Sumaye agoma kumchafua Dk Slaa

Sumaye naona amekuali kwa Shingo upande moyoni mwake anajua dhamira yake inataka nini?
 
Huyu jamaaa ni Fisadi nyuma ya pazia, ametumia sn waliokuwa chini yake kufanya ufisadi na yy kujificha akijua akitoka atandamwa kama ataweka sahihi ktk moja ya vi meseji kama alivyofanya EL ndiyo waixhomshikia wakina Mwaki tkt kamati yao, la asingeshikwa, huwezi amini amejitwalia maheka kwa maheka yenye rutuba kama Bagamoyo , Arusha, maorogoro na Dar lkn kote waliotia sahihi ni waliokuwa chini yake yeye amebaki msafi, lakini LOOOOOO!
 
sumaye kakubali kumaliza beef na JK, awezi fanya siasa za maji taka bwana, Huyu ni genious toka Harvard na hata point zake zinavutia. Msipigie mafisadi na wezi wa mali za umma Kura , alisema Sumaye
 
Safi sana. Lakini hatampigia JK anania ya kumwokoa Nagu mikononi mwa wife wa zamani wa Dr Slaa
 
Mwache Sumaye amdanganye Jekey, Hana la kusema Hanang kuhusu Dr Slaa watu wanaelewa siku nyingi ubora wa Dr Slaa. Wazee wasijekumwagia radhi huko.
 
Aidha, imefahamika kuwa Sumaye amekubali kuingia katika kampeni kwa sharti la kutoshiriki katika kumkashifu mgombea wa urais wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, jambo ambalo amenukuliwa akisema linaweza kumuondolea hadhi...

Taarifa zaidi zinasema Sumaye amegoma kumfanyia kampeni mgombea ubunge wa jimbo la Rombo kupitia CCM, Basil Mramba, kwa vile ana wasiwasi ataonekana ni mtetetezi wa watuhumiwa wa ufisadi na anaweza kuanza kuandamwa baadaye…….

Habari zaidi katika MwanaHALISI ya leo.
Are you kidding me? What is this, some kind of joke lol?
 
Back
Top Bottom