Wanajf hii imenichanganya. Katika ziara ya Anan mkoani Mbeya sijamwona Sugu (Mbunge wa Mbeya mjini) bali makada wa CCM tu. Hii inaashiria nini......!!??
Wanajf hii imenichanganya. Katika ziara ya Anan mkoani Mbeya sijamwona Sugu (Mbunge wa Mbeya mjini) bali makada wa CCM tu. Hii inaashiria nini......!!??
atakuwa alisusa, siunajua tena jamaa ni msanii aka mzee wa kuchana misitari. Hakuna isue kubwa ya ugeni kama ule mkoani kwake mbunge asijue.
kwani hujul Sugu ni nani?hana sifa mzee wa mistari. labda akija 50cent au Pdidy utamuona. wewe unafikiri sugu ataongea nini na Annan? vitu vingine hata havihitaji elimu ya chuo kikuu. Use just a common sense. Professor Mwandosya ndo size yako. Eti sugu! who is sugu by the way?
Kwani form four na lugha kuna uhusiano gani, kuna watu wameishia darasa la nane au form two na wanaongea kiingereza kizuri,lugha ni mazoezi ya kuongea na kusoma vitabu au magazeti.jamani sugu ni form 4 level wa pale sabasaba sec mtwara, kingereza chake ni cha kupapasa pasa tu, zaidi ya neno welcome hana sentensi hata moja nyingine. wangeongea nini ni yule mghana?? Jamani tusifananisha gundi na sumaku hapo sugu aliingia mitini mwenyewe tu
jamani sugu ni form 4 level wa pale sabasaba sec mtwara, kingereza chake ni cha kupapasa pasa tu
jamani sugu ni form 4 level wa pale sabasaba sec mtwara, kingereza chake ni cha kupapasa pasa tu, zaidi ya neno welcome hana sentensi hata moja nyingine. wangeongea nini ni yule mghana?? Jamani tusifananisha gundi na sumaku hapo sugu aliingia mitini mwenyewe tu