Sugu na Koffi Anan

MwanaCBE

JF-Expert Member
Sep 23, 2009
1,771
804
Wanajf hii imenichanganya. Katika ziara ya Anan mkoani Mbeya sijamwona Sugu (Mbunge wa Mbeya mjini) bali makada wa CCM tu. Hii inaashiria nini......!!??
 
atakuwa alisusa, siunajua tena jamaa ni msanii aka mzee wa kuchana misitari. Hakuna isue kubwa ya ugeni kama ule mkoani kwake mbunge asijue.
 
Watabana sana na mwishowe wataachia, na wakijua demokrasi itasaidia
 
Wanajf hii imenichanganya. Katika ziara ya Anan mkoani Mbeya sijamwona Sugu (Mbunge wa Mbeya mjini) bali makada wa CCM tu. Hii inaashiria nini......!!??

Mkuu!!

Uliwaona makada wa CCM au viongozi wa serikali mkoani mbeya?
 
kama walikuwepo makada wa ccm na mavazi yao basi juwa kuwa jamaa alikuja kichama zaidi,ila kama hakukuwa na mavazi ya ccm ktk ziara basi tambuwa ni swala la kiserikali ila Mr Sugu labda hakuwepo kwani jana Sugu alikuwa Mwanza na mbunge wa kule ktk kupeleka ahadi ya GARI la wagonjwa walilo haidi chadema baada ya siku 90 za uchaguzi

Nadhani Sugu bado anajifunza Siasa kwa sasa,
 
atakuwa alisusa, siunajua tena jamaa ni msanii aka mzee wa kuchana misitari. Hakuna isue kubwa ya ugeni kama ule mkoani kwake mbunge asijue.

wewe ndo umeona ujio wa Annan ni ugeni mkubwa laikini kwetu ni kawaida tu..kwani annan ni nani?
 
Sugu ni mtu makini na analelewa na watu makini wa chama chake haiwezekani asuse au asijulishwe yote kwa yote
lazima kuna sababu muhimu. nawaamini sana viongozi wake na ninauhakika anapokea maelekezo kutoka juu chadema hawakurupuki
peoples...................
 
hana sifa mzee wa mistari. labda akija 50cent au Pdidy utamuona. wewe unafikiri sugu ataongea nini na Annan? vitu vingine hata havihitaji elimu ya chuo kikuu. Use just a common sense. Professor Mwandosya ndo size yako. Eti sugu! who is sugu by the way?
 
kwani hujul Sugu ni nani?
 
Annan amekuja juu ya maswala ya mbegu na kilimo so sidhani alikuwa mgeni wa Mbeya mjini maana hakuna mashamba hapo.
Annan hakuwa mgeni wa Sugu
 
jamani sugu ni form 4 level wa pale sabasaba sec mtwara, kingereza chake ni cha kupapasa pasa tu, zaidi ya neno welcome hana sentensi hata moja nyingine. wangeongea nini ni yule mghana?? Jamani tusifananisha gundi na sumaku hapo sugu aliingia mitini mwenyewe tu
 
Kwani form four na lugha kuna uhusiano gani, kuna watu wameishia darasa la nane au form two na wanaongea kiingereza kizuri,lugha ni mazoezi ya kuongea na kusoma vitabu au magazeti.
 
:noidea: Kuwa 4m level si sbb ya kutosha ya kumfanya mheshimiwa asijue ngeli, zaidi ya hapo ni wabunge wangapi wa ccm tena wengine ni mawaziri wa sekta nyeti kabisa lkn hata salamu tu inawashinda. Huenda huyo Annan Mbeya mjini alikuwa akipita tu, na wala hakuwa na ratiba yeyote na Sugu. Tatizo watu wanaona raha tu wanapotamka juu ya chadema.
 
jamani sugu ni form 4 level wa pale sabasaba sec mtwara, kingereza chake ni cha kupapasa pasa tu

Huo ndio mwisho wako wa kumfahamu sugu. Na haimaanishi upo sahihi. Sugu ni form 6 leaver shule ya Iyunga. Wakikuwa wanakuja kucheza kikapu pale MTC sasahivi Mist. Amekuwa akisafiri kwenda marekani, uholanzi, uingereza kufanya shughuli zake za music. Anakifahamu kiingereza vizuri inawezekana kuliko Annan mwenyewe. Alikuwa mwz wanakijenga chama. Anaangalia la muhimu na kulipa kipaumbele. Kuwakabidhi wananchi gari la wagonjwa walilowaahidi au kwenda kuzunguka na Kofi Annan aliyeletwa kisiasa?
 
mimi sikujua kama bwana Anan alikuja huku, afteral si unajua tena mambo ya kijiko na uma, Sugu hana shobo na minuso, halafu hawezi kupigwa picha na kina michuzi.:love:
 
Imani yangu ni kwamba hiki siyo kijiwe cha wahuni lakini kuna watu bado wanajadili watu badala ya kujielekeza kwenye kujadili hoja.
 
Form 4 siyo sababu kabisa! kwani lugha haihitaji hiyo form 4 unayosema. Kuna form 2 kibao wanaoongea kiinengereza,mie nilianzia primary.
So nadhani changia hoja tu kama una la kusema na siyo kuvuana nguo unnecessarily. Unajua baada ya kumaliza form 4 sugu alisoma nini tena? Unataka tuamini kuwa sug anakaa kwenu au shule na vyuo vyote njia iko kiwanjani kwenu so kwa kuwa hujamwona sugu akipita the hajaendelea kusoma? Tuongee hoja za kujenga siyo hizi za nani ana nini nani amevaaje,nani amekulaje... Tubadilike!!!!!!!!!!!!!!!

Back
Top Bottom