Sugu aibuka upya, atangaza kuendelea bifu na Ruge, Clouds

tatizo sugu hana elimu. Yetu macho.

kheri yako wewe na ruge pamoja na mwenyekiti wenu wenye dr dr dr dr lakini akiwafatilia hata mwehu atajiuliza kama hata la saba mlimaliza kweli..
 
Hivi huyu sugu, jimbo lake analifanyia kazi saa ngapi? Ifikie mahala, ubunge utofautishwe na usanii, biashara na mengineyo, kikweli kweli, ili wabunge wawe wana concetrate seriously kwenye majimbo yao sio kutuletea hadithi za kalumekenge hapa! Pambaf!

sugu ni mwanaharakati si mwanasiasa bro let him do his part viva sugu viva mtoto wa mbilinyi
 
labda huu ugomvi watu wanautizama kimtazamo mwingine lakini issue hapa ni its an conflict of interest btn sugu(upande wa wasanii ambao walivuma kitambo na leo hawapo au kusikika tena kutokana na kutokufuata ile misingi ambayo clouds imeiweka) na ruge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom