Sugu aibuka upya, atangaza kuendelea bifu na Ruge, Clouds

Hivi huyu sugu, jimbo lake analifanyia kazi saa ngapi? Ifikie mahala, ubunge utofautishwe na usanii, biashara na mengineyo, kikweli kweli, ili wabunge wawe wana concetrate seriously kwenye majimbo yao sio kutuletea hadithi za kalumekenge hapa! Pambaf!
 
At least Sugu ameongea. Sasa kilichobaki ni kuwaharibia tu hao mavirus.
Kitu gani banah!!
 
Joseph Mbilinyi

TAARIFA YA MASIKITIKO:

WALIKUJA NA KUOMBA MUAFAKA NASI TUKAKUBALI KWA AJILI YA AMANI NA MAENDELEO YA SANAA, NAMI KAMA KINEGA MWANDAMIZI NA PIA KIONGOZI MBUNGE) NIKACHUKUA MAAMUZI MAGUMU YALIYOLETA MACHUNGU YA LAWAMA TOKA KWA MASHABIKI WETU AMBAO KIMSINGI NILIWAELEWA AND I TOOK EVERYTHING AS A MAN...

BADO NASIMAMIA KUWA CHOCHOTE NILICHOFANYA NILIAMINI KUWA NILIKUWA NAFANYA KITU POSITIVE, LAKINI KUMBE WENZETU HAWAKUWA NA NIA NJEMA WALA DHAMIRA YA KWELI YA KUTAKA MUAFAKA BALI WALIKUWA NA AJENDA ZAO ZINGINE, MAANA MPAKA LEO HII HAKUNA HATA MOJA WALILOTEKELEZA KUTOKANA NA ULE MUAFAKA, NA ZAIDI MARA WANAKUJA NA HILI LINGINE LA KUWASHTAKI MAPACHA NA HUKU NI WAO WALIOSEMA TUNAANZA 'MWANZO MPYA'...A

MBAPO MIMI NILISEMA HAKUNA VITA ISIYOKUWA NA MALENGO NA NILIAMINI KWA DHATI MALENGO YETU SASA YALIKUWA YAMETIMIA...SASA WAO WANAPOJARIBU TENA KUVURUGA UTEKELEZAJI WA MALENGO BASI HAKIKA MALENGO YANAKUWA HAYAJATIMIA NA MAPAMBANO 'INALAZIMIKA' YAENDELEE...

My take:
Hili nililiona tangu mwanzo, kwani Kenge ni Kenge tu (RUGE) hawezi Kuwa Mamba!
Big mistake kwa Clouds! Sikutegemea Kusaga afanye makosa kama haya! Wengi wanadhani kwakuwa Ruge ana media itampa advantage! Kwanza Clouds wataua media zao wenyewe! Watu wakiichukia media yako lazima ife kama Uhuru Public.ingawa inabebwa na serikali hata Clouds mabadiliko ya utawala na mtizamo hasi wa wananchi utaua ile Media! Sugu mnamchukulia poa lakini anaoushawishi kama hamuamini subiri muone! Ruge hana busara kabisa! Hili swala angeweza kulimaliza kiutu uzima aendelee na bness zake za entertainment! Najua tutachangia hapa ki ccm na ki CDM lakini kwa wanaojua ukweli halisi wa bifu za Musiki na nini wanasimamia Vinega utajua nini kitachotokea!
 
Jamani nilisha wahi kusikia N2N wakisema "Yule yule aliye kupandisha ndiye atakaye kushusha" twende mbele turudi na nyuma pia sababu na chanzo cha ugomvi ni nini haswa???
 
Umeishiwa wewe Sugu, kweli wewe ni sugu kama jina lako. Badala ya kujadili maswala yenye tija kwa taifa kama matatizo ya umeme, inflation na umasikini ulio topea tuanze kukujadili wewe na ujinga wako? mbona wakati unaenda kupatana na Ruge ukuja kutuambia? Nakushauri uende shule kwanza labda itakusaidia. Mwenzio Ruge shule inamsaidia. Nimechoka kusikia upuuzi huu wa hali ya juu! Nasema sasa basi funga huo mjadala usio na tija kwa watanzania au nitakupiga ban, kama niliyo pigwa mimi!
Najua nitafungiwa last time nilifungiwa kwa muda wa miezi mitatu na leo ndio nimefunguliwa kwasababu tu nilisema ukweli kuhusu Clouds fm.
 
Tusimtupie Sugu lawama wakati adu i anajulikana,huu ni uzaifu wa hali ya juu kwa wapigaia haki za wasanii.Kama Ruge alitumia uelewa wake mdogo kumuhadaa Sugu basi isiwe kwa sisi sote . Tutoe mawazo mbadala kwa Vinega ili kuwanusuru wasanii dhidi ya huyu bwana (Ruge) anayetumia fedha zake kufanya maisha ya vijana wenzetu (wasanii) kuwa magumi,ili hali wanajituma.

Kussaga anakosea sana kuendekeza hizi chuki /ugomvi kwani mwisho wa siku yeye ndio atakayepata hasara.Watu kama hawa ambao hawatumii akili wanawanufaisha watu wengine(wanasiasa-mawaziri) kwa faida kidogo wanayopata .Biashara zao zinahitaji mahusiano mazuri na watu . Wanajidanganya kwamba wao wanaweza kila jambo bila kufanya tathmini ya hasara wanayopata.
 
Big mistake kwa Clouds! Sikutegemea Kusaga afanye makosa kama haya! Wengi wanadhani kwakuwa Ruge ana media itampa advantage! Kwanza Clouds wataua media zao wenyewe! Watu wakiichukia media yako lazima ife kama Uhuru Public.ingawa inabebwa na serikali hata Clouds mabadiliko ya utawala na mtizamo hasi wa wananchi utaua ile Media! Sugu mnamchukulia poa lakini anaoushawishi kama hamuamini subiri muone!
Ruge hana busara kabisa! Hili swala angeweza kulimaliza kiutu uzima aendelee na bness zake za entertainment! Najua tutachangia hapa ki ccm na ki CDM lakini kwa wanaojua ukweli halisi wa bifu za Musiki na nini wanasimamia Vinega utajua nini kitachotokea!


Huwezi kuukataa ukweli kuwa Sugu alichemka tangu awali kwa kitendo chake cha kufikia muafaka na Ruge na Kutangaza kufungua ukarasa mpya pasipo kuwashirikisha vinega, nani anajua labda kwa kuwashirikisha vinega leo mambo yasingekua hapa.
pande zote mbili zina makosa kulingana na maslahi na malengo waliyokua nayo.
Wakati sugu aliweka maslahi binafsi mbele, Ruge aliweka malengo yake na maslahi ya clouds mbele.
 
Huyu sugu asitegemee mitaa itamuelewa kama mara ya kwanza!!alivyopatana na ruge watu walikuwa wanamuuliza katika wall yake FB hakudiriki kuwajibu leo kibao kimegeuka anataka huruma ya manigga wa mtaa!!!hawezi pata support huyu pimbi mbilinyi na mwili wake kama gari VITZ
 
Mi nasubiri burudani tu mixtape inatoka wiki ijayo. With No Apology. Yote kayataka Sugu, aliwasaliti wenzie. Nukta!
 
Mara zote nasema shule muhimu ktk maamuzi mengi,
sugu is an idiot kwa hili.....period....
 
Sugu kajikaanga mwenyewe kwanza aliamua kujichukulia maamuzi bila kuwataarifu vinega wote sasa hv apambane mwnyw asitegemee atapata support ya mashabik kama mwanzo.
 
Sugu ni mgonjwa wa akili. Huwezi kuingia mkataba wa usawa na mtu aliyekuzidi kisomo, lazima akupeleke choo cha kike
 
Sugu anaumwa sana na dawa yake ni juice ya kikwere,huoni kina mboe na slaa wameshapona baada ya kumaliza ile doz,hakuna tena mikele!
 
Sugu ni mgonjwa wa akili. Huwezi kuingia mkataba wa usawa na mtu aliyekuzidi kisomo, lazima akupeleke choo cha kike

wewe unaelimu gani, msiwe mnatumia keyboard kujidai mna elimu kwa saaaana! wewe unaejidai Sugu hana elimu hawezi ingia mkataba na mtu anaemzidi elimu hebu tuambie elimu ya 50 Cent, Cristiano Ronaldo na wengineo, siku ya makubaliano Sugu alikua na mtu anaemsimamia na ni wakili msomi Tundu Lissu sasa tuambie kama Lissu nae anazidiwa elimu na Ruge na Nchimbi, uache upimbi wewe kama huna cha kuchangia kaa kimya au mponde Sugu kwa upande mwingine sio useme swala la elimu! Kuna watu hawana elim ila wanawatu wazuri wanaowaongoza kama nilivyokutajia hapo juu>>>
 
antviurs part 2 volume one iko jikoni...........sgu nae ni myoo(malware)....watamchana nilitegemea itakuwa hivi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom