TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,893
- 11,290
Hata kama amemega basi apewe hongera zake, hako kabinti mimi nshawahi kukatia machoni, mbaba yoyote ambaye angekaona kwenye 18 yake angeingia vishawishi tu. Si mnawajua watoto wa kinyiramba jamani? Kenyewe kembamba utadhani kamodo, jicho ndo usiseme, lips mhhhh....., ntamsamehe mzee mwenzangu kama alighafilika!
Genes za mfalme selemani kali kwelikweli!!!!!!!!!!