kijisehemu kidogo hiki cha bustan-si green zone-
Labda ni green belt! Teh teh teh!kijisehemu kidogo hiki cha bustan-si green zone-
Jengo lilikuwa zuri na mandhari nzuri kwa kipindi cha miaka ya 80 Chuo kikiitwa Morogoro University, kwa sasa ni jengo la kizamani yaani oudated architecture! Nenda Ardhi University utaona majengo ya kisasa kwa wakati uliopo.
wenzio wanashndanisha taaluma,we unashndanisha majengo,kama ndvyo majengo mazur yako udom mkuu.Jengo lilikuwa zuri na mandhari nzuri kwa kipindi cha miaka ya 80 Chuo kikiitwa Morogoro University, kwa sasa ni jengo la kizamani yaani oudated architecture! Nenda Ardhi University utaona majengo ya kisasa kwa wakati uliopo.
kijisehemu kidogo hiki cha bustan-si green zone-