Sua the green zone

nyambari

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
355
171
Image0112.jpg

This is the centre of excellence SUA.
 
SUA shule yao ngumu ukija mtaani nako pagumu.
Kuna rafiki yangu baada ya kukaa kijiweni kwa mda mrefu ameamua kujijili kwenye kilimo kwanza kwa sasa si mtu wa kawaida analima mpka eka100
Nilimtania nkamwambia SUA hakuna short course nami nkajifunze kilimo akanambia hamna sasa sijui alikuwa ananibania kusudi nimtumie yeye kwa malipo
 
Jengo lilikuwa zuri na mandhari nzuri kwa kipindi cha miaka ya 80 Chuo kikiitwa Morogoro University, kwa sasa ni jengo la kizamani yaani oudated architecture! Nenda Ardhi University utaona majengo ya kisasa kwa wakati uliopo.
 
Ardhi unuversity? Not that sure, kawaida sana!
 
Jengo lilikuwa zuri na mandhari nzuri kwa kipindi cha miaka ya 80 Chuo kikiitwa Morogoro University, kwa sasa ni jengo la kizamani yaani oudated architecture! Nenda Ardhi University utaona majengo ya kisasa kwa wakati uliopo.
wenzio wanashndanisha taaluma,we unashndanisha majengo,kama ndvyo majengo mazur yako udom mkuu.
 
co kuitwa university of agriculture means wote wanasomea kilimo nooooo,mimi npo hapa na natarajia kuwa biotechnologist and laboratory scientist ha2lijui shamba mpaka sasa
 
Samahani wakuu sikuwa na mpango wa kushindanisha majengo kwani hata title yangu haireflect hicho kitu what i meant here is the green colour of SUA na wala sio taaluma wala majengo au upatikanaji wa ajira kwa watu wa SUA you quoted me wrong
 
kijisehemu kidogo hiki cha bustan-si green zone-

Mkuu, hiyo sehemu ni green zone kweli siyo mchezo, kama ujawahi kufika chuoni hapo uwezi kujua, pia kwa jinsi walivyo ifadhi mazingira vizuri sehemu hiyo kuna maajabu ya mvua kunyesha karibu kipindi chote cha mwaka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom