Acheni ulimbukeni, you are just criticizing without thinking. The guy has raised a very important and valid question. Kama hamna jibu kaeni kimya. Waache wataalamu wajibu. Hii sio mipasho ya taarabu. This question should go to TCU; why 4 not 3 years? or vice versa? kama kuna quality issue, it should be revealed. Inakuaje mwingine 3 mwingine 4 yrs mwisho wa siku wote wanapata shahada ya sheria. Na huo mtindo wa kutukana watu eti wameuliza maswali yanayohusu vyuo ukome; who are you to stop them? I don't mean to start another debate lakini nataka watu muwe makini na kurespect mawazo ya watu. Hii sio forum ya watu wasio taka kureason, kama ujajipanga kaa kimya, subiri mada unayoijua ujibu. Don't answer ili mradi tu. Heshimu jamii forumn watu wanaitegemea sana kupata taarifa muhimu na kuelimika.
Ni miaka 5!. Baada ya hiyo miaka 4, lazima uende Law School kwa mwaka 1!, jumla ni miaka 5!Wapo wanafunzi wa UDSM wanaochoshwa na hiyo miaka 4, na kuna wakati UDSM walitaka kufanya miaka 5, lakini sijui ilisitishwa vipi.
Mkuu kuna muongozo wa chuo katika kufundisha hizo kozi kinachoangaliwa hapo ni uwezo wa chuo kukamilisha hvyo vinavyoitajika ila kozi ninazokuwa covered katika vyuo vyote ni zile zile hvyo uwezo wa chuo katika resources zake ndiyo zinazoangaliwa,mfano chuo kama Mzumbe,Makumira,Tumaini Iringa na vinginevyo vinafundisha LAW MIAKA 3,wakati chuo kama UDSM,RUCO vinafundisha MIAKA 4.HATA HIVYO KUANZIA 2011 MZUMBE LAW NI MIAKA MINNE(unaweza tembelea website yao halafu nenda faculty of law uangalie mchanganuo wa LLB
tafuta,kuna thread ilikua hapa jamvin juzi ikikataza ligi za vyuo.

Duh....hii nayo kali! Acha utani na ma ngwini bana!Au UDSM faculty of law walitaka kuwa sawa na kitivo cha uhandisi maana kulikuwa na upinzani wa jadi kati ya hivyo vitivo viwili zamani kama vile simba na yanga ili ionekane kuwa hakuna tofauti kati yao yaani wote miaka minne.
ukitaka kujua tofaut yao,tembelea udsm school of law,vijana wengi wa saut na udsm ambao wamepga miaka 4,wanafanya vzr sana ukilinganisha na wenzao walofanya miaka 3.
Umesahau UDOM na SAUT.
Umesahau UDOM na SAUT.nao pia law ni 4yrs.Bt inachosha kwa kweli coz hata mm nasoma hyo kozi hapa udom.
Au UDSM faculty of law walitaka kuwa sawa na kitivo cha uhandisi maana kulikuwa na upinzani wa jadi kati ya hivyo vitivo viwili zamani kama vile simba na yanga ili ionekane kuwa hakuna tofauti kati yao yaani wote miaka minne.
We tumekushtukia,unataka kuanzsha mpambano wa vyuo humu tena na wakat tushakubaliana mabishano ya vyuo yakome.