Story yangu ya kweli

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
23,766
71,290
Woudaaa

Junior Chalii, maisha niliochezea yalikua ni balaa. Hapa town yalikua ni balaa

Nilijifanya mkora kipindi nipo skuli. Wazazi na waalim nkawaletea kiburi. Arusha Sec ndo shule nilioskul. Ndani ya skuli nilikua tofauti chalii kachaa mapigo ya kinyambuleti.

Proper uniform juu nimekula barrett, shati sijapasi chini bonge la buti. Shule daika becha daika taraa unikuti. Class saa mbili saa tatu unikuti. Camp langu la wahunu vibaka na wala ugoro. Nlipenda utoro. Hesabu napata mbili kiswahili napata zero.

Waalim walishangaa wakabaki wanaduwaa jinsi navyotembea na begi nililobeba. Haba na haba hujaza kibaba mwisho wa yote wakashindwa kunibeba.

Shule nikafukuzwa, shule mbinde kwa mbinde mpaka mtaa nikakwenda. Nikawa mtoto wa bakta mpaka watu wakashangaa walimwengu walishangaa jinsi nnavotembea watoto niliwashika nikawa ile kisanga

My story ya ukwelii. Serikali msinifunge wakili njoo tubonge. Hili nilistory lilonifanya njipoteze. X2

Siku zikasogea nikiwa pale mtaa. Mkora nkajiona mimi shujaa Kuchana na kufoka ndo ikawa kazi ya mtaa. Maisha ya ki Babylon nkayaona yanafaa.

Kushika gun na kuiba kila mtaa ikawa ndo kazi yangu nkaacha na sanaa. Nikawa jambarika mpaka watu wanashangaa.

Maduka ya wahindi na waarabu nliyatindua. Ukipita na kizuri mniga nakichua. Mpaka misalaba makaburini naichomoa. Manzi mzuri akipita inakuwa patashika. Niamue kumuibia au niamue kumbaka.

Police wakapata taarifa zangu wakaniweka most wanted kwa kubandika picha zangu. Nikahama ghetto nikahamia kwa mchizi wangu huku naendelea na ule mchezo wangu. Mimi na paru yangu, paru bunduki yangu.

Za mwizi 40 siku yangu ikafika. Siku hiyo niko ghetto Mbaudani mimi namoka, kelele zikasikika (wowowowow) kumbe pale ghetto mapai walishafika. Lete ubishi ubishi mara virungu vikanifika mara pingu wakanivalisha kizimbani wakanipandisha.


Hakimu akataja kesi zangu za kutisha. Hukumu nliopewa ni kifungo cha maisha. Ewe Mungu baba ebu cheki nnavotishaaa. Wooooiii Maisha yangu yanatishaaa

Mbususu Enthusiast Extrovert
Joanah njoo sasa unisome chalii ya chuga naweka story yangu
 
Mkichwa wa habari tu umenifanya nisisome hata mstari mmoja. "My real story ya ukweli" ni matako gani haya?
 
JamiiForums-431446709.jpg
 
Back
Top Bottom