Kwanni kama kinascratch ITV na EATV tusijali? Emu fafanua tusije anza kuwaza kinyume
habari yako
Pole kwa tatizo, kama kinascratch ITV na EATV tafadhali usijali uwe na subira tatizo linatatuliwa hivi karibuni, lakini kama kinascratch chanel zote, tafadhali naomba wasiliana na fundi wetu wa mbagala aje akiangalie 0767634511 gharama za ufundi ni bure lakini utachangia kidogo gharama za Usafiri kwa fundi wetu '3000'
Ahsante
Channel za bongo mbona hazionekani zaidi ya tbc 1?? Au nazo zinalipiwa??
Hawa jamaa dawa yao ni kuwahama tu. Channel zote nzuri ziko kwenye kisimbuzi cha antenna, Discovery Science, Fox news etc. Local channels zote wa dish lazima kulipia.Duh! Aisee nimejipanga kukiphase out this July