Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series

Dah kweli nime amini maisha Yana hitaji mengi.

Mwezi huu Umekuwa wa kiutofauti sana upande wangu, aisee niko bored kinyama.

Starehe zangu ni kula, kucheza game na kuangalia series.

Sinywi pombe, sivuti bangi na hata sio mtu wa viwanja.

Naona vitu ni vile vile, nothing seems new to me.
Watu wa style kama yangu, huwa mnaishije
View attachment 2783816
Mkuu unacheza game gani?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom