Star tv idumu milele..tbc ife milele

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Ningependa watanzania tukatwe kodi kwa ajili ya tv ya -taifa star tv..hii television naiombea isife..yaani hata mchakna kama sikuwa karibu na mitandao,nina uhakika ikifika saa2,usiku nitapata balanced story kutoka star tv........................viva star tv viva chadema
 
naunga mkono hoja ila mkuu pole sana kama ulikuwa bado unaiangalia,tulio wengi tulishaiacha toka kipindi cha uchaguzi wa arumeru hawa jamaa ni wapumbavu sana hawajui kama wanatumia kodi yangu....ife milele!!!
 
Mimi nimeiangalia hata ile issue ya Tundu Lissu na Mwanasheria Werema nimeifurahia hasa msemo wa Nywele ku kichwa na nawakilisha sasa Bunge limeharibiwa kwa kufanya kila siku Mwongozo Meli kuzama leo siku ya 3 bado mnatafuta Mwongozo, mmeshaambiwa Serikali inashughulikia, kweli washimiwa mmekosa kazi
Picha nawashukuru wavuti:
 
Serikali imara na mihimimi yake miwili iliyobaki imara!!!!! Hebtu uitaje eti? Dadeki!!
 
Ndugu CHEMPO unataka kuuambia umma Stat TV ni mali ya CHADEMA? Kwa hiyo kila kilicho kizuri ni cha CHADEMA? Nakushauri uiache STAR TV iendelee kuwa NEWTRAL USIIBAKE UKAIGOMBANISHA NA WAPENZI WAKE.
 
Mheshimiwa Spika NAUNGA HOJA. TBC ni upumbavu mtupu. Ni kama CCM B! Haina mvuto na haibebeki.
 
Minapenda sana pia taarifa zake za Habari,wanaeleza deep zaidi na habari nyingi za kutosha. Hlf eti kuna ka tivii kanasoma hbr za kimataifa habari moja tu.


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hongera star tv ningependa niite tv ya taifa. Star tv hakuna kulemba wala upendeleo big up sana.
Tbc tv ya chama cha mapindu nawatakiwa kifo chema.
( R.I.P TBC)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom