Tutakuletea matokeo na zoezi la UPIGAJI kura huko arumeru Mashariki na Kama uko arumeru tujulishe yanayotokea huko katika Maeneo tusipofika kwa faida ya watanzania nasi tutawafikishia kupitia luninga
Yahya M, fikisha salaam kwa kijana mmoja gamba lililokuwa studio jana, mwambie aache unafiki. Akosoe uozo wa serikali kuliko kukosoa chadema. Yule aliyeongelea umri wa mbwa. Mpuuzi sana. Madini yanaibiwa ye anaongelea upuuzi wa daladala MWANZA
atakayekuwa mbunge ni atayepigiwa kura nyingi na watu wa Arumeru Mashariki.
Kwa hiyo matokeo yakitofautiana na Poll hii kutakuwa na maanadamano??
Ahsante kwa taarifa mkuuhuku kwenye kata ya sing`isi akina mama na wazee wengi wanaacha utamaduni wao wa kukipigia kura cha kimoja kila siku na wanafanya maamuzi ya tofauti na hali ni shwari kabisa
atakayekuwa mbunge ni atayepigiwa kura nyingi na watu wa Arumeru Mashariki.
Kwa hiyo matokeo yakitofautiana na Poll hii kutakuwa na maanadamano??