Star Times advert most boaring advet ot the year, take it away please

Boring adverts zote za tv na billboards.uzushi hawana ubunifu mana kama vifaa wanavyo,studio nk.yana mtu unapigapicha ya tangazo unang'aa jasho utafiki hauna hata kitaulo seuze makeup.matangazo ni kazi co unatuwekea mtu kwakua ni almaarufu.startimes mnaendelea kuchemka tu hakuna jipya,bora nirudi dstv ingawa ni ghali lakini unatizama kila kitu unachotaka kukuona kwenye tv.thumbs down!!

Maybe Voda au Airtel wawasaidie kutengeneza ad ya sekunde tano wajifunzie hapo
 
Kwa ufupi ukiangalia Matangazo mengi ya Tanzania ukitoa lile la Vodacom mengine mengi ni ful ubabaishaji!!! mlishaona lile la dawa mseto?!! au lile la Stara Thomas yani unshangaa hawa watu gani wanafanya ujinga hivo!!1
 
linaboa kishenzi na lile la TIGO!!

hilo la tigo ni zuri coz yule jamaa mbabe alishindwa kuleta ubabe kwa yule mama kwa sababu hakuamini yule mwanamke alivyojiamini hata wewe kutana na simba halafu mtishe uone atakavyotoka nduki
 
Kakajambazi tafsida, unajuaje kama yeye ndio kaitoa. Umenichekesha manake natumia mobile nashindwa gonga thanks.

Salut! Manake maisha yetu tuliwapa wanasiasa walipotufikisha wao ndio wanajua, media na yenyewe inatupeleka siko, wapinzania mguu walioanzia safari mbaya. Nani alijua kama sefu maalum ni noma kuliko ccm, na ndio maana alitemwa ccm.
 
Tangazo bora ni lile la Hakielimu la watoa mada wanaojadili vigezo vya elimu bora.
 
Yani king'amuzi kipo ndani, afu unampa mkeo kingine sijui akampe aliemtoa bikra?! Afu na nyie tigo,ivi karne ya 21, bado mnampa mshindi mamilioni kwenye gunia kweli? Dharau gani hii?

Ahahahhahhaha nimeipenda hiyoooo..
 
Nakubaliana nawe kabisa kwenye haya matangazo matatu uliyoyataja. Ninafikiri ni vizuri pia kuzungunzia matangazo ambayo yameandaliwa vizuri ili hawa watu wajifunze pia.

Hatuna muda wa kuwafundisha watu waliokuwa sourced kwa vigezo vya kwamba wana uwezo. Wao wanalipwa kwa kazi hiyo, kwani hawafuatilii matangazo yao yanapokelewaje?
 
Kwa ufupi ukiangalia Matangazo mengi ya Tanzania ukitoa lile la Vodacom mengine mengi ni ful ubabaishaji!!! mlishaona lile la dawa mseto?!! au lile la Stara Thomas yani unshangaa hawa watu gani wanafanya ujinga hivo!!1

Stara thomas anasema 'Nikiwa kama mama ninayefanya kazi'
 
Hivi tangazo haliwezi kuwa zuri mpaka awepo kanumba? Kwa nini watanzania hamjifunzi? Marketing gani mnafanya? Hebu anghalia huu mtindo wa kutumia single za wasanii kwenye promo za siasa na ads zingine, voda nao eti wametumia wimbo wa 'hakunaga' tigo walitumia 'shikide' kama sikosei. Hapa kuna matatizo mengi yakiwemo rushwa, kupendekeza, ulimbukeni na mengine unayoyajua.
 
Niko na nyie, tumefikia mahali wateja hatuna thamani yale yele tunayofanyiwa na wanasiasa sasa na hawa wawekezaji wao wanafanya hivyo hivyo, hebu niambieni tangazo bovu si moja tu naomba kuongezea matangazo ya kutolewa kwenye TV zetu ni pamoja na ule uharo wa tigo na cowboy wa kiswahili na noti chache kwenye gunia la mchanga, na mwanamke wa tandale anayejiita shujaa na ujumbe usiojulikana hata kwamba anauza nini, hii yote ni kwa kuwa ma CEO waliojazwa nchi hii hawana uwezo ni takataka tupu hata hawana uwezo wa kusimamia marketing na watu waliojazwa kwenye marketing ni wapumbavu wasiosomea, hawana exposure wala experience
Mbaya zaidi uwe una-watch tv vile vipindi vyao vya asubuhi, na kajitu akawezi ata kuuliza maswali. Alafu wanajifanya kukupumzisha kwa mitangazo yao yakukera!
 
Jamani, nadhani wale wanaokijua kichina watusaidie ku post ili ujumbe uwafikie hao jamaa. Inaelekea hawaelewi kiswahili!
 
Kweli wabongo wanamchukia Kanumba lol, kwa upande mwengine naona tangozo limefanya kazi yake maana kila mtu analiongelea.
"There is no such thing as bad publicity."
 
Kweli wabongo wanamchukia Kanumba lol, kwa upande mwengine naona tangozo limefanya kazi yake maana kila mtu analiongelea.
"There is no such thing as bad publicity."

Tuweke mambo sawa. Nilipoanzisha thread hii mlengwa wangu ni creator wa tangazo na wala sikujua yule mwanamume anayechekacheka ovyo anaitwa kanumba maana si wote tu watizamaji wa films hizi au wasomaji wa magazeti ya udaku. Na mpaka hivi sasa simfahamu yule mwanamke kwenye tangazo asiyekuwa na nidhamu anaitwa nani. Mlengwa bado ni aliyetengeneza concept ya hilo tangazo. Huyo ndiye aliyesababisha watu walichukie hili tangazo.
 
Back
Top Bottom