Star Times advert most boaring advet ot the year, take it away please

KALABASH

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
493
206
The creator of STAR TIMES advertisement cannot be anything but MEDIOCRE and totaly devoid of any sense of creativity. To watch the man in the advert (I do not know his name) clowning himself with undirected laugh is both boring and nauseating. Please take it awaay from our Tv screens fast.
 
Hahahaha nilidhani
ni mie tu nakerekwa
na kicheko kile cha
kimagumash cha kanumba!
Boring advert,
boring chanels
boring
boring
boring
and booooring
 
Thanks Msoffe and Chuma Chakavu for supporting me in my cry to have this STAR TIMES advert taken away from our tv screens and take it away fast please.
 
Hata hao star times wenyewee! Boring channels! Mi nimekatupilia mbali ka decoda kao!
 
The creator of STAR TIMES advertisement cannot be anything but MEDIOCRE and totaly devoid of any sense of creativity. To watch the man in the advert (I do not know his name) clowning himself with undirected laugh is both boring and nauseating. Please take it awaay from our Tv screens fast.

Cheki Billboards zao, Mtu huyo huyo anacheza karate mara ni mchezaji wa timu ya Serie A Italy , hakuna uhalisia kabisa
 
yaani hilo tangazo linawapa the opposite effect. Linakimbiza wateja. Kanumba hawezi kuigiza film hivyo sijui nani aliwshadaa kuwa angeweza kuigiza tangazo.
But lets face it, ving'amuzi vyenyewe pia ni hovyo so there
 
Niko na nyie, tumefikia mahali wateja hatuna thamani yale yele tunayofanyiwa na wanasiasa sasa na hawa wawekezaji wao wanafanya hivyo hivyo, hebu niambieni tangazo bovu si moja tu naomba kuongezea matangazo ya kutolewa kwenye TV zetu ni pamoja na ule uharo wa tigo na cowboy wa kiswahili na noti chache kwenye gunia la mchanga, na mwanamke wa tandale anayejiita shujaa na ujumbe usiojulikana hata kwamba anauza nini, hii yote ni kwa kuwa ma CEO waliojazwa nchi hii hawana uwezo ni takataka tupu hata hawana uwezo wa kusimamia marketing na watu waliojazwa kwenye marketing ni wapumbavu wasiosomea, hawana exposure wala experience
 
nafikiri kwa sababu christmas imeisha basi na lile tangazo litaisha soon. si kanumba wala yule msichana wote hovyo. uliona wapi zawadi inaombwa kwa fujo? ile nafikiri ndo style ya mademu tulonao. Mia
 
Yani king'amuzi kipo ndani, afu unampa mkeo kingine sijui akampe aliemtoa bikra?! Afu na nyie tigo,ivi karne ya 21, bado mnampa mshindi mamilioni kwenye gunia kweli? Dharau gani hii?
 
Hivi hakuna watu wengine kama Startimes??? Wanaboa kweli,kila siku wanaongeza chanel za china,hivi serikali imelala?hakuna term of reference??wanafanya tu kama wanavyotaka?? Nimepanga kuondoa decorder yao,bora niweke dish la free chanel kabisa!
 
Ukitaka tangazo lolote la maana lazima uzame mfukoni na kutoa hela ya kueleweka sasa kama wachina ni wabahili hayo ndio matokeo ya kuwa na cheap adverts kutokana na hela iliyotolewa, some people think ubora wa advert don't matter that much ndio maana kuna matangazo chungu nzima ambayo ubora wake hauendani na kampuni yenyewe au wengine wanachukua picha za mastaa wa nje ndio wanafanya matangazo yao kuepuka gharama kubwa za kutengeneza tangazo
 
Back
Top Bottom