Star Times advert most boaring advet ot the year, take it away please

Hivi hakuna watu wengine kama Startimes??? Wanaboa kweli,kila siku wanaongeza chanel za china,hivi serikali imelala?hakuna term of reference??wanafanya tu kama wanavyotaka?? Nimepanga kuondoa decorder yao,bora niweke dish la free chanel kabisa!
Serikali na yenyewe ina vishares vyake hapo what do you expect
 
Yaani lile tangazo linaboa halafu waliloliandaa wanadhani watanzania hatuna uwezo wa kufikiri vya kutosha cjui!
Hembu angali.
1. Kanumba anacheka akionyesha amefurahishwa na anachokiangalia kwenye TV mpaka anamu-ignore mpenzi wake (halafu kicheko chenyewe hakimwakilishi mwanaume halisi wa ki-TZ anapocheka tena mbele ya mkewe/mpenziwe)
2. Zawadi aliyomletea huyo mpenzi wake ni star times!

HAKUNA LOGIC
-Je, ina maana yule msichana haishi nyumba moja na Kanumba? (Maana tayari kuna TV ambayo is most likely to be shared by couple)
- Hicho king'amuzi alichopewa atakipeleka wapi?

NAUNGA MKONO HOJA WA KULITOA LILE TANGAZO.
 
Nilidhani ni mimi pekee, kwakweli tangazola startimes linatia kichefuchefu, na si hilo tu hata hili la Tigo linalo wahusisha mke na mume ni uozo mtupu.:rant: kwakweli tunaomba yatolewe.
 
Yaani lile tangazo linaboa halafu waliloliandaa wanadhani watanzania hatuna uwezo wa kufikiri vya kutosha cjui!
Hembu angali.
1. Kanumba anacheka akionyesha amefurahishwa na anachokiangalia kwenye TV mpaka anamu-ignore mpenzi wake (halafu kicheko chenyewe hakimwakilishi mwanaume halisi wa ki-TZ anapocheka tena mbele ya mkewe/mpenziwe)
2. Zawadi aliyomletea huyo mpenzi wake ni star times!

HAKUNA LOGIC
-Je, ina maana yule msichana haishi nyumba moja na Kanumba? (Maana tayari kuna TV ambayo is most likely to be shared by couple)
- Hicho king'amuzi alichopewa atakipeleka wapi?

NAUNGA MKONO HOJA WA KULITOA LILE TANGAZO.

Kicheko cha kanumba kinamwakilisha mwanaume wa Kinaigeria,,, hata acting ya kanumba baadhi ni kinaigeria... nafikiri anawaadmire mpaka anawaiga.. naomba akisoma hii massage abadilike awe kama yeye
 
Pia kuna tangazo Star TV ile ya Mwanza. Mwanaume yupo uchi halafu amejifunika na mto amekaa kwenye kochi sebuleni. Eti anawahi kuangalia habari. Nadhani mkiliona tangazo hili mtafungua mashtaka kabisa
 
Tangazo baya kuliko lote ni la kanumba la kuchekacheka kama chizi vile kisa anaangalia cartoons startimes,marketing manager ebu ondoeni tangazo hilo linabore sana
 
Niko na nyie, tumefikia mahali wateja hatuna thamani yale yele tunayofanyiwa na wanasiasa sasa na hawa wawekezaji wao wanafanya hivyo hivyo, hebu niambieni tangazo bovu si moja tu naomba kuongezea matangazo ya kutolewa kwenye TV zetu ni pamoja na ule uharo wa tigo na cowboy wa kiswahili na noti chache kwenye gunia la mchanga, na mwanamke wa tandale anayejiita shujaa na ujumbe usiojulikana hata kwamba anauza nini, hii yote ni kwa kuwa ma CEO waliojazwa nchi hii hawana uwezo ni takataka tupu hata hawana uwezo wa kusimamia marketing na watu waliojazwa kwenye marketing ni wapumbavu wasiosomea, hawana exposure wala experience
Nakubaliana nawe kabisa kwenye haya matangazo matatu uliyoyataja. Ninafikiri ni vizuri pia kuzungunzia matangazo ambayo yameandaliwa vizuri ili hawa watu wajifunze pia.
 
Yani king'amuzi kipo ndani, afu unampa mkeo kingine sijui akampe aliemtoa bikra?! Afu na nyie tigo,ivi karne ya 21, bado mnampa mshindi mamilioni kwenye gunia kweli? Dharau gani hii?

acha fikra za kijinga wewe unawaza kusalitiwa tu,,,ujinga ndugu yangu kuwa kifikra!!!!
 
Pia kuna tangazo Star TV ile ya Mwanza. Mwanaume yupo uchi halafu amejifunika na mto amekaa kwenye kochi sebuleni. Eti anawahi kuangalia habari. Nadhani mkiliona tangazo hili mtafungua mashtaka kabisa

kama amejifunika na mto atakuwa uchi vipi, hata wewe ukiwa umevaa suluari kwa ndani si unakuwa uchi????
 
Pia kuna tangazo Star TV ile ya Mwanza. Mwanaume yupo uchi halafu amejifunika na mto amekaa kwenye kochi sebuleni. Eti anawahi kuangalia habari. Nadhani mkiliona tangazo hili mtafungua mashtaka kabisa

Niko na nyie, tumefikia mahali wateja hatuna thamani yale yele tunayofanyiwa na wanasiasa sasa na hawa wawekezaji wao wanafanya hivyo hivyo, hebu niambieni tangazo bovu si moja tu naomba kuongezea matangazo ya kutolewa kwenye TV zetu ni pamoja na ule uharo wa tigo na cowboy wa kiswahili na noti chache kwenye gunia la mchanga, na mwanamke wa tandale anayejiita shujaa na ujumbe usiojulikana hata kwamba anauza nini, hii yote ni kwa kuwa ma CEO waliojazwa nchi hii hawana uwezo ni takataka tupu hata hawana uwezo wa kusimamia marketing na watu waliojazwa kwenye marketing ni wapumbavu wasiosomea, hawana exposure wala experience

Nakuunga mkono ni kweli kuna matangazo yanaboa sana na yanabidi yaondolewe kwa kuongeza lingine ni lile la Magagoro fulani kuna Mchezaji fulani mkongwe na Mrisho Ngassa tangazo wanapopigiana mpira na wanavyoongea baada ya kupigiana,haviendani na ni upuuzii mtupu.nahis hakuna watu creative wa matangazo hapa nchini au makampuni haya yanapenda cheap na ndio maana matangazo yao yanaboa.
 
Kwanza kicheko cha kanumba ni too artificial yale mambo ya watu,alafu yule mwanamke hana adabu huwezi kuomba zawadi vile anafundisha nini watoto kwa attitude kama ile?
 
Boring adverts zote za tv na billboards.uzushi hawana ubunifu mana kama vifaa wanavyo,studio nk.yana mtu unapigapicha ya tangazo unang'aa jasho utafiki hauna hata kitaulo seuze makeup.matangazo ni kazi co unatuwekea mtu kwakua ni almaarufu.startimes mnaendelea kuchemka tu hakuna jipya,bora nirudi dstv ingawa ni ghali lakini unatizama kila kitu unachotaka kukuona kwenye tv.thumbs down!!
 
Yani king'amuzi kipo ndani, afu unampa mkeo kingine sijui akampe aliemtoa bikra?! Afu na nyie tigo,ivi karne ya 21, bado mnampa mshindi mamilioni kwenye gunia kweli? Dharau gani hii?
Tangazo la tigo hata mimi linanikela kweli eet ni wakati wako? Nani sasa wanawake aau si mngesema zawadi ni zawanawake?
 
na mimi ni muathirika wa hili tangazo bovu...btw.thanks jf nimemjua kumbe yule anaitwa kanumba
 
huu mtangazo ukija kwenye screen yangu nachange channel yaani mtu anakenua hata haijulikani kipi kinamfanya akenue na yule mtoto mzuri yaani wamemdhalilisha
 
The creator of STAR TIMES advertisement cannot be anything but MEDIOCRE and totaly devoid of any sense of creativity. To watch the man in the advert (I do not know his name) clowning himself with undirected laugh is both boring and nauseating. Please take it awaay from our Tv screens fast.

huna lolote..wivu tu! Unahisi atakuwa kalala na yule pipi kisura..
 
Back
Top Bottom