Sporting Casablanca vs JKT QUEENS - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,307
24,200
11 November 2023

LIVE Sporting Casablanca 4 - 1 JKT QUEENS - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023

View: https://m.youtube.com/watch?v=drY_F-vulPI

Kutoka uwanja wa San Pédro, Ivory Coast mechi hii ya timu ya Morocco na Tanzania zikipambana

  • Dakika 14 ' Sporting Casablanca 0 - 0 JKT QUEEN
  • Dakika ya 20' bado mechi haijaruhusu bao kwa timu hizi mbili
  • Dakika 24' Defence ya JKT ipo imara inafagia tishio la timu ya Morocco
  • Dakika ya 25' VAR inaangalia kama Sporting watapata penalty
  • Dakika ya 27' Sporting Casablanca wanapewa penati huku Happyness Mwaipaja wa JKT Queens akipewa red card
  • Dakika 29' GOAL Casablanca wanapata goli la penati
  • Dakika ya 35' JKT wakiwa na upungufu wakiwa 10 uwanjani bado wanatafuta utulivu baada ya penati
  • Dakika 37' Shambulizi la kasi la timu ya Casablanca, lazaa kona bila madhara.
  • 38' Goal, Casablanca wanaandika bao la pili
  • Dakika 41' kocha wa JKT, Esther Chabruma anatafakari wakati muafaka kubadilisha mchezaji mechi ikielekea half time, itokee ktk kujilinda zaidi ifanye mashambulizi
  • DAKIKA 48' GOAL, Casablanca inaandika bao la tatu
  • Dakika 50' VAR hatari , mungu mkubwa hakuna adhabu kwa JKT kubaki na wachezaji 9
  • Dakika 52' Mechi inaenda mapumziko: SPORTING CASABLANCA 3 - 0 JKT QUEENS
  • KIPINDI CHA PILI KINAANZA
  • Dakika 49' VAR kuangalia kama kipa wa JKT amefanya madhambi ndani ya penalty box
  • Dakika 50' VAR imepita hakuna adhabu, JKT yasalimika
  • Dakika ya 53' bado SPORTING CASABLANCA 3 - 0 JKT QUEENS
  • Dakika 55' bado JKT haijaweza lolote kufanya shambulizi hadi lango la Casablanca
  • Dakika 56' GOAL counter attack JKT yapata goli
  • SPORTING CASABLANCA 3 - 1 JKT QUEENS
  • Dakika ya 57' GOAL, Casablanca yapata bao,
  • SPORTING CASABLANCA 4 - 1 JKT QUEENS
  • Dakika 70' wanafunguka JKT yaongeza mashambulizi SPORTING CASABLANCA 4- 1 JKT QUEENS
  • Dakika 80' GOAL JKT wapata bao SPORTING CASABLANCA 4 - 1 JKT QUEENS
  • Dakika 83' VAR, JKT hatari kupoteza mchezaji wa pili kwa red card. Anastazia Nyandago anapewa red card
  • Dakika 86' SPORTING CASABLANCA 4 - 1 JKT QUEENS
  • Dakika ya 88' JKT QUEENS inacheza na wachezaji 9 tu, pengine uchanga wao kiumri wengi umri miaka 15, 16, 17, 18, 19 hivyo siku usoni watakuwa wachezaji tishio
  • Dakika 90' zimeisha, dakika 8' za nyongeza kwa mchezo huu zimeanza
  • Dakika 92' SPORTING CASABLANCA 4 - 1 JKT QUEENS
  • JKT QUEENS bado wanapigana hadi dakika za mwisho na wachezaji 9 tu. Inatia moyo.
  • Dakika 90' + 8' = 98' zimekwisha SPORTING CASABLANCA 4 - 1 JKT QUEENS
 
Mkuu kuna mechi ya mkondo wa pili?
 
Back
Top Bottom