Atletico FC d'Abidjan vs JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE

90' + 12' = dakika 102' zaisha mchezo umefika tamati na timu ya Tanzania yaibuka mshindi baada ya kuwa nyuma kwa zaidi ya dakika 60' yapindua matokeo na Gerald wa JKT Queens aibuka woman of the match.

FULL TIME RESULTS :
Atletico FC d' Abidjan 1 - 2 JKT Queens
 
michuano hii ya Champions League

KITITA CHA BILIONI MOJA KUNYAKULIWA NA MSHINDI WA MICHUANO, HUKU MSHINDI WA PILI, 3 NA WENGINE WAKIWANIA MAMIA YA MAMILIONI YA SHILINGI :

Mchanganuo wa fedha za shindano la Champions League kwa wanawake mwaka huu kwa mujibu wa CAF mshindi wa kwanza dola za Marekani 400,000, mshindi wa pili dola za Marekani 250,000, wawili waliofuzu nusu fainali dola 200,000 kila mmoja, timu mbili zilizoshika nafasi ya tatu dola za Marekani 150,000 kila mmoja na timu mbili zilizoshika nafasi ya nne zitachukua dola za Marekani 100 000 kila moja.

US$ 1 = Tshs. 2,513.00

Source: JKT Queens set for decisive debut
 
90' + 12' = dakika 102' zaisha mchezo umefika tamati na timu ya Tanzania yaibuka mshindi baada ya kuwa nyuma kwa zaidi ya dakika 60' yapindua matokeo na Gerald wa JKT Queens aibuka woman of the match.

FULL TIME RESULTS :
Atletico FC d' Abdijan 1 - 2 JKT Queens
Hahaha hongera sana sana JKT RUVU, ngoja Sasa tumsikie Masau Bwire
 
Masau Bwire

JKT Queens yawa gumzo katika fainali hizi, wakiwakilisha kanda ya CECAFA na tayari ma scout wa kimataifa wameshabaini wachezaji wa kuwalenga kuwasajili .

JKT Queens imesheheni vipaji vya wachezaji wa umri wa miaka 15, 16, 17, 18, 19 wanaocheza kikosi cha kwanza (first eleven) ambao wana nafasi ya kucheza soka kwa kipindi kirefu kijacho.

JKT Queens, washiriki wa kwanza kutoka Tanzania, walipata nafasi ya kushiriki michuano hii inayoendelea nchini Cote d’Ivoire kwa kujituma na kujitolea kwa jasho, damu, ukakamavu na hii imeonekana katika mechi mbili ambazo wamecheza hadi sasa ktk champions league group stages inayoendelea .

Safari yao ya ajabu kufikia hatua hii ya kucheza Champions League iliimarika kupitia ushindi mnono wa mikwaju ya penalti dhidi ya timu ya Benki ya Biashara ya Ethiopia ECB wakati wa mchujo wa kanda wa CECAFA kuwania nafasi ya kushiriki michuano hii mikubwa ya Afrika ya CAF Champios League kwa wanawake.

Kipigo cha leo ngazi ya klabu CAFWCL2023 kinaikumbusha machungu ya mengine waliyotiwa na Tanzania baada ya Twiga Stars kuifunga na kuitoa ktk michuano timu ya taifa ya Wanawake wa Ivory Coast mwezi September 2023 kuwania nafasi ya kucheza fainali za African Cup of Nations mwakani 2024.( Women's AFCON 2024).

Toka maktaba :

TWIGA STARS YAITOA IVORY COAST KWA MATUTA CHAMAZI​


TIMU ya taifa ya wanawake ya Tanzania imefanikiwa kutinga hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya mwakani nchini Morocco baada ya kuwatoa Ivory Coast kwa penalti 4-2 kufuatia sare ya jumla ya 2-2
 
08 November 2023

Msimamo CAFWCL2023:
Group A

Rank
Club
MPMatches played
WWins
DDraws
LLosses
PtsPoints
GFGoals scored
GAGoals against
GDGoal difference
Last 5Last 5 matches

1​
Mamelodi Sundowns Ladies
2​
2​
0​
0​
6
3​
0​
3​
Win
Win
Not played
Not played
Not played​

2​
JKT Queens
2​
1​
0​
1​
3
2​
3​
-1​
Win
Loss
Not played
Not played
Not played​

3​
Athlético Abidjan
2​
0​
1​
1​
1
2​
3​
-1​
Loss
Draw
Not played
Not played
Not played​

4​
Sporting Casablanca
2​
0​
1​
 
Nikusahishe kidogo. Timu ya kwanza kucheza Champions League ya wanawake alikuwa Simba. Na aliingia nusu fainali mwaka Jana.
 
Back
Top Bottom