Simba Queens mabingwa wa Ngao ya Jamii

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,222
103,827
Screenshot_20231212_203854_Chrome.jpg


SIMBA QUEENS YABEBA UBINGWA WA NGAO YA JAMII 2023

Timu ya soka ya Wanawake ya Simba Queens imefanikitwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake 2023 kwa kuifunga JKT Queens kwa njia ya penati 5-4 baada ya matokeo ya goli 1-1 katika muda wa kawaida.

Baada ya mchezo huo wa Fainali kukafanyika zoezi la utoaji Tuzo ambapo Mchezaji Bora wa Fainali na Mfungaji Bora ni Stumai Abdallah wa JKT Queens wakati Mchezaji Bora wa Michuano ya Ngao ni Vivian Corazone wa Simba Queens.
 
Afadhali Hawa wanajitambua. Kuna kipindi mwaka Jana yule Opa Clement alikuwa hatari Sana. Nikawa najiuliza kwanini Simba ya wanaume haipati striker wa kiume mwenye uwezo Kama huyo?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom