Spika wa Bunge Kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu kikatiba ni Kosa?

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Hivi karibuni kumetokea mtafaruku mkubwa kati ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi na spika Sitta na uendeshaji wake wa Bunge. Lakini pia tumemsikia Kafulila akitupa dongo kwa CHADEMA kwa kuikosoa katiba yao kwamba inacheza ngoma ile ile ya CCM.Kafulila ameyasema hayo jana alipokuwa akikabidhiwa kadi ya NCCR na mwenyekiti wake mpya Mbatia katika makao makuu ya chama hicho Ilala jijini Dar es salaam.
 
kikatiba si kosa kwa sababu katiba ndio inatamka kuwa awe mjumbe wa kamati hiyo
 
kikatiba si kosa kwa sababu katiba ndio inatamka kuwa awe mjumbe wa kamati hiyo
Katiba ya CCM sio ya JMT. Muuliza swali nadhani anaongelea Katiba ya JMT ambayo iko kimya juu ya hilo. Ukijua mchakato wa kumpata Spika hili halitakusumbua.
 
Bila shaka hapa anamaanisha katiba ya CCM. Kwani katiba ya Muungano na ile ya Zanzibar hakuna kifungu hicho.
 
Back
Top Bottom