JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,511
Ahojiwe tu. huo ni udharirishaji wa Bunge
Wanajadili bajeti wakati bajeti inapangwa kwenye mkutano wa uzinduzi.Wanapata 18% tuu ya bajeti wanayoijadiliHatuna bunge tuna mkusanyiko wa wachumia tumbo tu ambao wanalidhalilisha Bunge kwa kiasi kikubwa sana huu ndo mkusanyiko wa hovyo tokea tupate uhuru
Mbona kwa Bashite hamkuhoji kazi ya kamati ya maadili?
Albadiri.Hivi hii kamati ya maadili ya Bunge kazi yake ni kudhibiti maadili ya wabunge au umma?....manake ni kama hii kamati ndiyo polisi na mahakama
Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?"
View attachment 742128
Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili 2018.
Taarifa zaidi zinafuata...

Huyo jamaa kwakujipendekesa Akili ndogo anajiita Mwandishi!ONA AIBU WASI.....wewe nae ni mwanahabari UNAEJIELEWA KWELI????
kila mtu anafahamu kabsa wewe ni kamradi maalumu ka hapo UFIPA.....zero brain kabsa MUANDIKA UMBEA, unaekopi mada fb na kutuletea hapa...wakati unanijibu hii comment uje utuonyeshe ANDIKO LOLOTE ULILO WAHI KUANDIKA HAPA JF la kutoka kichwani kwako mwenyewe kama afanyavyo PASCHAL
Uwezo wa Ndugai ni mdogo na uwezo wa mtu kiakili hausomewi darasani bali mtu hupewa na Mungu.Yaani spika na sekretarieti yake yooooote hawakuiona hiyo alama ya kuuliza (?)?
Sasa hapa tukihoji uwezo wao, je tutakuwa tunakosea??