Speed ya Tigo 3g kama EDGE!!!!

niko moshi tigo 3G ikipanda sana ni 9-10kbps but nimerudi airtel you can't believe inavuta adi 200kbps kwenye torrents,nachoweza sema airtel wako safi achana na tigo kaka
 
nilipata 3.5G ya tigo siku moja tena maeneo ya posta tokea hapo 3G ndio napata tena mjini kwengine huko hakunaga kitu kama iko..
 
hiyo 3G ama 2G, mimi cpati kabisaa internet, hata page kuload mashaka!!, sasa niko Airtell
 
Mi naona hawa tiGo,kazi imewashinda!!!!!!!!Najuta,bora ningeweka Airtel!
 
naona wamesharekebisha problem, now fresh getting their what they call high speed
 
Upo maeneo niliyoyataja mkuu?Maana huku speed ya downloads bado
ni under 10KB/s

nop man, me siko huko, lakini hata hapa nilipo, k.ndoni, nilikuwa na experience hilo tatizo, but mimi hasa imetokea jaana nikawa cpati connectivity kabisaa, ila now fresh, but hawa ki ukweli high speed yao has ni usiku, mchana kawaida, inakuwa ina stuck kwenye 150kbs on IDM, ila usiku inafika sometimes 300kb, but mara nyingi ina stay kwenye 250kbps as their downloading speed..

WANAKERA COUSE I HAVE GOT A LOT OF THINGS TO DOWNLOAD.. NIMEWEKA THIS BUNDLE ONLY FOR DOWNLOADING MY STUFFS, ACTUALLY ITS PC GAMES. THREE OF THEM, that makes up the total of 28Gb in size, i do hope will finish this within a month
 
so chief u mean ile net ya bure ndio ilikuwa ina ongeza traffic on the network ryt? kwani what provider hasa a u using for ur internt now?

ujue ile trick ya 15166 sio specific kama ni light max au stabdard so ilikua inajaza trafic so wakati wanaishughulikia kuiban wakaona wapunguze speed (i think so)

mi natumia tigo + voda na airtle na zantel
 
ujue ile trick ya 15166 sio specific kama ni light max au stabdard so ilikua inajaza trafic so wakati wanaishughulikia kuiban wakaona wapunguze speed (i think so)

mi natumia tigo + voda na airtle na zantel
Sio sababu!Mbona watu wa Kawe wanapata 3G full speed!
 
kama uko facebook, tigo wanapage yao. jaribu kwenda report the problem and specify it + the location uliyopo, it might be usefull, try
Thanks kwa ushauri wako,nimewasha watumia malalamiko
kwenye wall yao,guess what they replied?Walikuwa hawajui,watalifanyia kazi.Haha
 
Back
Top Bottom