Nyie mnaleta utani, hebu chukulia speed ya basi 140 km/hr, likitambaa na hizo speed, hata land kruz yenye spd 220, kuliona ni ishu nyingine. Kwahiyo spd 120 ya gali iko juu ukilinganisha na ya pikipiki, pikipiki ikifika 120 inakuwa nyepesi na haikanyagi chini ipasavyo, gali ni tofauti.na ndo maana wanafizics wanasema ACCEleration due to GRAVITY.
Mkuu uswe. It is not that simple.
Jiulize max speed ya lorry au basi pale ktk dash board ni 120km/hr wakati gari dogo ni kati ya 180 na 240kmph. Na ili uliover take basi/lorry u must cruise to more that 140kmph. Upo hapo?
je ni sawa? Naomba munijuze wana jf
tofautisha maximum speed ambayo chombo kinaweza kwenda, na maximum speed displayed on the dashboard,,, maximum speed displayed on the dashboard ya basi ni kweli ni 120, but sio maximum speed ambayo basi hilo linaweza kwenda, it can go beyond that, na ile dashboard itabaki imedisplay 120, coz ndo maximum dosplay yake!! Umeelewa mkuu?????,,,
acha kuongea pumba,, wewe!!!... Ivi hata elimu ya form 2 physics hauna,,, ile ni SI unit... km/h,, hata iende rocket, hata ukimbie wewe, hata iende mv skagit, as long as wote mpo katika speed ya 120 km/h, wote mtakua sawa,,, forget about the dashboard speed,,, zingine zinakuaga mbovu, zingine hazidisplay speed ya ukweli, ndo kama ivo unavosema kua basi linaenda 120 lkn cruiser inaenda 200, sawa, then one or both of the speed meters katika hayo magari haisemi ukweli.

Kwa kuwa umebarikiwa kujua Physics chukuwa tape pima tairi ya gari kubwa inakokanyagia baada ya hapo pima tairi ya gari ndogo kama ukilinganisha utakuta tairi kubwa ikizunguka mara moja ndogo itazunguka mara mbili.
120kph ya gari kubwa =140kph kwa gari ndogo
unafkiri walioweka speed meter hawajui yote hayo?? Kua tairi ya scania ni kubwa, na tairi ya starlet ni ndogo??? Ngoja nikuulize swali, je ndege zikiwa hewani, moja kubwa na ingine ndogo, na zote zinaenda at 120km/h lets say, kwahiyo ndege kubwa itamzidi ndege ndogo???? Ama labda tuchukulie meli, mv skagit na speed boat ndogo, zote zikawa katika 120km/h, yupi atakaemzidi mwenzie???? Msilete mambo ya tairi kubwa na ndogo, ishu ni km/h, ni SI unit worldwide, iende gari, iende meli, akimbie swala, iende ndege, iende bodaboda, ukiweza hata ukimbie wewe, the speed will b the same, since it is km/h..
Nyie mnaleta utani, hebu chukulia speed ya basi 140 km/hr, likitambaa na hizo speed, hata land kruz yenye spd 220, kuliona ni ishu nyingine. Kwahiyo spd 120 ya gali iko juu ukilinganisha na ya pikipiki, pikipiki ikifika 120 inakuwa nyepesi na haikanyagi chini ipasavyo, gali ni tofauti.na ndo maana wanafizics wanasema ACCEleration due to GRAVITY.
Ni sawa kwenye dashbord lakini momentum inatofautiana, ukiangalia mara nyingi kama umepanda basi ambalo maxmum km/hr ni 120 akiwa kwenye speed ya 100km/hr, anaovertake land cruiser ambayo ina maximum speed 180km/hr akiwa kwenye 150km/hr, ni kwasababu ya mzunguko wa tairi (ream). Wakati ream size (mzunguko wa rim ya basi) waweza kuwa rm 20 au 23, ream size ya Toyota land-cruiser ni 16. This is to say, tairi la basi likizunguka mara moja, lile la cruza litapaswa kuwa limezunguka mara moja na nusu. Ndo maana kama magari yote mawili yatakuwa sawa, kwa mwendo kasi, lile gari lenye tairi kubwa litalipita lenye tairi dogo kwa mzunguko. Ni hayo tu kwa layman's knowledge!!!je ni sawa? Naomba munijuze wana jf
Mkuu, nadhani hapa umekosea, jamaa anauliza swali la maana sana ingawa majibu yanaonekana kuwa mepesi kwa maswali magumu!kilo moja ya chuma na kilo moja ya pamba ipi nzito, ndio unachouliza?