Speed 120km/hr ya pikipiki na 120km/hr ya gari?

Mkuu uswe. It is not that simple.

Jiulize max speed ya lorry au basi pale ktk dash board ni 120km/hr wakati gari dogo ni kati ya 180 na 240kmph. Na ili uliover take basi/lorry u must cruise to more that 140kmph. Upo hapo?
 
Nyie mnaleta utani, hebu chukulia speed ya basi 140 km/hr, likitambaa na hizo speed, hata land kruz yenye spd 220, kuliona ni ishu nyingine. Kwahiyo spd 120 ya gali iko juu ukilinganisha na ya pikipiki, pikipiki ikifika 120 inakuwa nyepesi na haikanyagi chini ipasavyo, gali ni tofauti.na ndo maana wanafizics wanasema ACCEleration due to GRAVITY.
 
acha kuongea pumba,, wewe!!!... Ivi hata elimu ya form 2 physics hauna,,, ile ni SI unit... km/h,, hata iende rocket, hata ukimbie wewe, hata iende mv skagit, as long as wote mpo katika speed ya 120 km/h, wote mtakua sawa,,, forget about the dashboard speed,,, zingine zinakuaga mbovu, zingine hazidisplay speed ya ukweli, ndo kama ivo unavosema kua basi linaenda 120 lkn cruiser inaenda 200, sawa, then one or both of the speed meters katika hayo magari haisemi ukweli.
 
tofautisha maximum speed ambayo chombo kinaweza kwenda, na maximum speed displayed on the dashboard,,, maximum speed displayed on the dashboard ya basi ni kweli ni 120, but sio maximum speed ambayo basi hilo linaweza kwenda, it can go beyond that, na ile dashboard itabaki imedisplay 120, coz ndo maximum dosplay yake!! Umeelewa mkuu?????,,,
 
Daaah naunga mkono hoja speed ni ile ile sema watu wengi hatujui hili.
 
acha kuongea pumba,, wewe!!!... Ivi hata elimu ya form 2 physics hauna,,, ile ni SI unit... km/h,, hata iende rocket, hata ukimbie wewe, hata iende mv skagit, as long as wote mpo katika speed ya 120 km/h, wote mtakua sawa,,, forget about the dashboard speed,,, zingine zinakuaga mbovu, zingine hazidisplay speed ya ukweli, ndo kama ivo unavosema kua basi linaenda 120 lkn cruiser inaenda 200, sawa, then one or both of the speed meters katika hayo magari haisemi ukweli.

Rafiki hapo umekosea sana, Mimi ninauzoefu wa mambo ya magari.

Kwa mfano Suzuki ina tairi ndogo Scania ina tairi kubwa kama mara mbili ya tairi ya Suzuki kama kwenye Scania mshale wa speed utakuwa kwenye 120 na Suzuki 120 lazima Scania itampita Suzuki hiyo haina upishi kabisa.
Pia Sensor ya speed iko kwenye gearbox iko wazi mzunguko wa gear box ya gari ndogo ni tofauti na gari kubwa
 
acha kuongea pumba,, wewe!!!... Ivi hata elimu ya form 2 physics hauna,,, ile ni SI unit... km/h,, hata iende rocket, hata ukimbie wewe, hata iende mv skagit, as long as wote mpo katika speed ya 120 km/h, wote mtakua sawa,,, forget about the dashboard speed,,, zingine zinakuaga mbovu, zingine hazidisplay speed ya ukweli, ndo kama ivo unavosema kua basi linaenda 120 lkn cruiser inaenda 200, sawa, then one or both of the speed meters katika hayo magari haisemi ukweli.

Kwa kuwa umebarikiwa kujua Physics chukuwa tape pima tairi ya gari kubwa inakokanyagia baada ya hapo pima tairi ya gari ndogo kama ukilinganisha utakuta tairi kubwa ikizunguka mara moja ndogo itazunguka mara mbili.

120kph ya gari kubwa =140kph kwa gari ndogo
 
mzunguuko ndio unao-determine speed. kwa kadiri mzunguuko unavo zidi kuwa mkubwa ndivyo spidi inavyo kuwa kubwa and vice versa. Gari kubwa mfano basi au lorry mzunguko wake wa injini piston ni mkubwa. hivyo unafua nguvu kubwa Horse powers vile vile mzunguuko wa tyres ni mkubwa pia, linapozunguka mara moja starlet inazungusha zaidi ta mara tatu au nne. Hivyo basi au lori katika spidi ya 120 km/hr sio sawa na gari ndogo katika 120km/hr

speed=distance covered(km)/time taken(hr)

tyre kubwa (lori/basi) lina-cover distance kubwa linapozunguka mara moja,wakati gari dogo (starlet) lina cover distance ndogo at a given same time. hivyo ili kwenda sawa gari ndogo lazima liwe katika speed zaidi ya 120km/hr
 
Kwa kuwa umebarikiwa kujua Physics chukuwa tape pima tairi ya gari kubwa inakokanyagia baada ya hapo pima tairi ya gari ndogo kama ukilinganisha utakuta tairi kubwa ikizunguka mara moja ndogo itazunguka mara mbili.

120kph ya gari kubwa =140kph kwa gari ndogo

unafkiri walioweka speed meter hawajui yote hayo?? Kua tairi ya scania ni kubwa, na tairi ya starlet ni ndogo??? Ngoja nikuulize swali, je ndege zikiwa hewani, moja kubwa na ingine ndogo, na zote zinaenda at 120km/h lets say, kwahiyo ndege kubwa itamzidi ndege ndogo???? Ama labda tuchukulie meli, mv skagit na speed boat ndogo, zote zikawa katika 120km/h, yupi atakaemzidi mwenzie???? Msilete mambo ya tairi kubwa na ndogo, ishu ni km/h, ni SI unit worldwide, iende gari, iende meli, akimbie swala, iende ndege, iende bodaboda, ukiweza hata ukimbie wewe, the speed will b the same, since it is km/h..
 
hivi wewe unajua physics!? Kwani ndege inatumia matairi ikiwa angani kutembea, au mv skagit ina matairi pamoja na boti zina matairi, we unaambiwa mzunguko wa matairi. We unaleta story zingine.
 
Majibu ya jinsi hii ndiyo yanayotakiwa. Kujibu juujuu kwa jambo usilokuwa na uelewa nalo unajianika jinsi usivyoelewa! Kama hujui si unyamaze tu. Ahsante Grey kwa kutoa elimu hiyo muhimu, kwa mifano iliyo rahisi kuelewa, hata kwa ambaye hajui Physics
 
Nyie mnaleta utani, hebu chukulia speed ya basi 140 km/hr, likitambaa na hizo speed, hata land kruz yenye spd 220, kuliona ni ishu nyingine. Kwahiyo spd 120 ya gali iko juu ukilinganisha na ya pikipiki, pikipiki ikifika 120 inakuwa nyepesi na haikanyagi chini ipasavyo, gali ni tofauti.na ndo maana wanafizics wanasema ACCEleration due to GRAVITY.

Maelezo yako mazuri nimeyapenda ila hapo kwenye nyekundu umepakosea kidogo, kifasaha zaidi ni momentum. Kila kitu kilicho kwenye mwendo kasi huwa kina momentum, ambao unatokana na tungamo yake (mass) na mwendokasi wake (velocity). Hii kitu ni muhimu kutokana na kwamba ina-determine kitu kinachoenda namna ambavyo kitaweza kukata hewa kirahisi pamoja na msuguano (friction) wake chini ardhini. Hivyo piki piki inayoenda kwa kasi ya 120km/hr na gari inayoenda kwa kasi hiyo hiyo, piki piki itaachwa provided gari lina tungano mkubwa kuliko ile ya pikipiki!
 
je ni sawa? Naomba munijuze wana jf
Ni sawa kwenye dashbord lakini momentum inatofautiana, ukiangalia mara nyingi kama umepanda basi ambalo maxmum km/hr ni 120 akiwa kwenye speed ya 100km/hr, anaovertake land cruiser ambayo ina maximum speed 180km/hr akiwa kwenye 150km/hr, ni kwasababu ya mzunguko wa tairi (ream). Wakati ream size (mzunguko wa rim ya basi) waweza kuwa rm 20 au 23, ream size ya Toyota land-cruiser ni 16. This is to say, tairi la basi likizunguka mara moja, lile la cruza litapaswa kuwa limezunguka mara moja na nusu. Ndo maana kama magari yote mawili yatakuwa sawa, kwa mwendo kasi, lile gari lenye tairi kubwa litalipita lenye tairi dogo kwa mzunguko. Ni hayo tu kwa layman's knowledge!!!

kilo moja ya chuma na kilo moja ya pamba ipi nzito, ndio unachouliza?
Mkuu, nadhani hapa umekosea, jamaa anauliza swali la maana sana ingawa majibu yanaonekana kuwa mepesi kwa maswali magumu!
 
Makanyaga,

Ulichokisema ndiyo jibu la ukweli from science perspective.

Momentum is all what can differentiate a car and a 'pikipiki' when all travel at the same speed.
 
Kwa kuwa umebarikiwa kujua Physics chukuwa tape pima tairi ya gari kubwa inakokanyagia baada ya hapo pima tairi ya gari ndogo kama ukilinganisha utakuta tairi kubwa ikizunguka mara moja ndogo itazunguka mara mbili.

120kph ya gari kubwa =140kph kwa gari ndogo

are u kidding me????nyinyi ndo mnao wadanganya watu kila siku huko gereji.....no wonder hata ile overdrive inawachanganya ktk gari auto.....duh
 
Back
Top Bottom