duh, hili swali tumeliongelea mno hapa Jamvii mpaka linanichosha. hamna brand iliyozidi nyingine, iwe Toshiba, iweapple, au Sony, Samsung, HP, Acer.. kama kuna VAIO umeona unataka kuchukua lakini hujui ubora wake, weka hapa model yake wataalamu kama mie watakuchambulia la kutosha. lakini ukiuliza kama VAIO ni nzuri ni sawa na kuuliza kama kuishi Dar ni kuzuri. Duh..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.