Sony vaio

duh, hili swali tumeliongelea mno hapa Jamvii mpaka linanichosha. hamna brand iliyozidi nyingine, iwe Toshiba, iweapple, au Sony, Samsung, HP, Acer.. kama kuna VAIO umeona unataka kuchukua lakini hujui ubora wake, weka hapa model yake wataalamu kama mie watakuchambulia la kutosha. lakini ukiuliza kama VAIO ni nzuri ni sawa na kuuliza kama kuishi Dar ni kuzuri. Duh..
 
inatakiwa iwe na model kama hivi.. sony VAIO vpcw216ag

angalia pale chini ya screen au geuza. bado ukikosa chomoa na battery yakehukosi model namba kwote huko
 
Maswali mengine bana umeshasikia ni sony wasi wasi wako ni nini?
 
Back
Top Bottom