Somo Ambalo haukulipenda Kabisa, ulilisoma basi tu ilikubidi!

Hahahaa. Pole Mkuu. Mimi ilikua poa tu sema mwalimu wa history alikua mbovu akanifanya na somo yake lisiwe la kuvutia.

Mi Teacher Aliyekuwa anatufundisha Alikuwa Wakike !

Afu Aliwapenda sana darasa la Arts !
Afu akija kuingia darasa letu la Science alikuwa anataka tusome History kama tunavyosoma Physics , Biology na Chemistry !
Yani tuwe busy tu na history

Notes za history wengi tulikuwa tunaandikiwa na madem ! Wa Arts

akaja kuzingua tukalipotezea tu somo lenyewe ! Nilichomoka na C

Maisha Mtelezo
 
Mimi nilitamani sana kuwa mtaalamu wa sayansi ila nikaenda vinginevyo. Japo hadi kesho ni mtundu tundu kidogo wa vitu vya kisayansi.
Mkuu masomo yote yalikuwa poa na nilikuwa napenda sana Bios na Chemistry na Physics na Geography bana naw azo langu kuja kuwa Doctor ila dah maths ikanitenda bana wacha tuu mkuu Tized
 
Mimi nilitamani sana kuwa mtaalamu wa sayansi ila nikaenda vinginevyo. Japo hadi kesho ni mtundu tundu kidogo wa vitu vya kisayansi.

Hahahah sawa kabisa ni kama mimi hapa aise

Mr Rocky mimi afadhali ya math kuliko history aise yaani nilikua nachukia sana hadi siku nyengine natoka class

History uwe na kichwa cha kukariri bana miaka na matukio yake ukichemsha tuu umekosea kila.kitu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa

History iko hivo karibia kila mahali. Wanaoizingatia ni wake wa pure arts. Walimu walalmishi hao.. "nyie mnazingatia syansi na biashara tu.. mnaizarau histry.. someni itawaokia hii mkifeli"
Mi Teacher Aliyekuwa anatufundisha Alikuwa Wakike !

Afu Aliwapenda sana darasa la Arts !
Afu akija kuingia darasa letu la Science alikuwa anataka tusome History kama tunavyosoma Physics , Biology na Chemistry !
Yani tuwe busy tu na history

Notes za history wengi tulikuwa tunaandikiwa na madem ! Wa Arts

akaja kuzingua tukalipotezea tu somo lenyewe ! Nilichomoka na C

Maisha Mtelezo
 
Physics,chemistry,math na biology..i hated science....i was more into history,english and geography.....and thank God A level nikasoma HGL...
 
Ndio somo gani hiloo ??

Nadhani ni Technical schools hizo !
Ni somo linalohusiana na magari nadhani !

Na kuna shule zina masomo ya ajabu Dina !

Mfano Cooking, ushonaji, Food and Nutrition !
Yaaani masomo ya ajabau ajabu tu !
 
Mr Rocky mimi afadhali ya math kuliko history aise yaani nilikua nachukia sana hadi siku nyengine natoka class
hivi nyie history kilichokuwa kinawashinda nini mbona mambo yalikuwa mchekela sana.yaani ukimpata mwl mzuri akianza kukuhadathia mpk unasahau kama ulikuwa darasani full kuenjoy
 
hivi nyie history kilichokuwa kinawashinda nini mbona mambo yalikuwa mchekela sana.yaani ukimpata mwl mzuri akianza kukuhadathia mpk unasahau kama ulikuwa darasani full kuenjoy

Nilikua simuelewi kabisa. Akianza tu kufundisha hapo ndio napata mda mzuri akili yngu kupanga mambo kibao yakufanya kwa siku nzima
 
Nadhani ni Technical schools hizo !
Ni somo linalohusiana na magari nadhani !

Na kuna shule zina masomo ya ajabu Dina !

Mfano Cooking, ushonaji, Food and Nutrition !
Yaaani masomo ya ajabau ajabu tu !

Haya masomo ni ya Chuo cha ufundii etii hahhhhha
 
Back
Top Bottom