ICOGNITO-INC
Senior Member
- Mar 28, 2013
- 133
- 87
Kiswahili sikuwahi kupata zaidi ya C
hivi nyie history kilichokuwa kinawashinda nini mbona mambo yalikuwa mchekela sana.yaani ukimpata mwl mzuri akianza kukuhadathia mpk unasahau kama ulikuwa darasani full kuenjoy
pole sana mkuu
Nakumbuka kuna jamaa yangu yuko pale NIT !
Kipindi yupo o-level tiacher wa physics alikuwa magumashi !
Ka solve swali mara ya kwanza ! Watu ''hatujaelewa''
aka solve mara ya pili akapata jibu lingine akauliza tena mme elewa
jamaa akajibu ''ameelewa Mbwa''
daa jama alitimuliwa science nakwenda arts !
Kiswahili sikuwahi kupata zaidi ya C
Ndio somo gani hiloo ??
Pole,nadhani ulikutana mwalimu kiraza,unaamanisha hata hizi facts hakukwambiaphysics sikuwahi ielewa mpaka namaliza fm 4
physics sikuwahi ielewa mpaka namaliza fm 4
hivi nyie history
kilichokuwa kinawashinda nini mbona mambo yalikuwa mchekela sana.yaani
ukimpata mwl mzuri akianza kukuhadathia mpk unasahau kama ulikuwa
darasani full kuenjoy
Kweli tunatofautiana mkuu !
Mi Physics, chemistry, Biology, maths !
Kuanzia form 1 - 2 nilikuwa siyapendi kinyama yani ! Na hata muda wa
kusoma sikuwa nao nikisikia pepa ! Naandaa vikaratasi vyangu ! Vya
kuingia navyo, kasoro hesabu !
Mi nimewahi pata 9% maths yaani da !
Ila kuanzia Form 2 mwishon mpaka namaliza shule ! Ndo yalikuwa masomo
yangu !
Na ndio yaliyo nifikisha hapa nilipo !
Ila English sijaipenda to primary !
physics sikuwahi ielewa mpaka namaliza fm 4
Ata introduction!!