cristela
Senior Member
- Sep 20, 2016
- 138
- 297
Sisi wanawake tumezaliwa wavumilivu sana kuacha wale wenye tabia za asili ila kiukweli wanaume wamekua wabinafsi sana kwenye suala la mapenzi na ukifuatilia ni wanawake wachache sana wanaoridhishwa na wapenzi wao hasa walio kwenye ndoa na maambukizi mengi ya magojwa ya zinaa yanatokea kwenye ndoa.
Mwanaume akili yake anajua akishakupata ukamvulia the first-time basi huwa wamekua ni wabinafsi sana mnakuta mnasex yeye akisha maliza haja zake basi kageukia upande wa pili na bora achukue muda ila mwingine akiingiza tuu tayari karusha anakuachia shombo tuu na hamu kibao mwishowe inalegea kama mlenda.
Siongelei wanaume wote hapa nimesema baadhi, hii hupelekea mwanamke kuwaza mengi na kutoka nje, mwanaume anakujibu kila kitu si unapata? Hata uwe na kila kitu ndani usipokojoleshwa ni bure wanaume jueni kuwaridhisha wapenzi wenu acheni ubinafsi.