Software ya kutengeneza video/movie

Muulize na mwigulu!!ameihifadhi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nenda youtube kale tutorial....za kutosha Adobe Premiere Pro 2015 CC ndo mpango mzima, After effects 2015 CC na Photoshop CC 2015 hapo umemaliza ila kutumia after effects mashine yako inabidi iwe powerful..
 
asante mkuu.
youtube huwa napitia sana ila ngeli inakuwa ngumu kuelewa si unajua lakini,
nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kwa muda wake... ombi tu
 
Sasa kama kiingereza hakipandi fresh hapo inakua shida lakini watu wanaelewa tamthilia za kizungu huko uswahili na kiingereza cha kuunga unga jitahidi uangalie vitendo na sio maneno...mimi naangaliaga hata tutorial za kihispanyola na sielewi kihispanyola
 
Back
Top Bottom